Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Amepotoka kwa kusema ukweli kuhusu dhalimu? Mkojo unakwama wapi?Lissu nimekuwa nikimuunga sana mkono!!! Amepotoka Big time. CHADEMA imeumizwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepotoka kwa kusema ukweli kuhusu dhalimu? Mkojo unakwama wapi?Lissu nimekuwa nikimuunga sana mkono!!! Amepotoka Big time. CHADEMA imeumizwa
Mwanaafrica au jizi la kura la Afrika?Mnatafuta uchokozi kwa kumnanga mwana Africa J.P.M
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Wapiga kura hatuna muda wa kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi kwa mazingira haya.Uchaguzi umetangazwa ingizeni Team mjipime basi
Tatizo muongo muongo ukimona ka sio yeye*2Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Wapiga kura hatuna muda wa kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi kwa mazingira haya.
Si nimesikia mmepigwa maarufuku, mmekataliwa na chama kwamba mpo kimaslahiBila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.
Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya....
1-PTSD
2-BDD
magonjwa haya yanamuondolea utulivu wa kiakili na kimwili na hivyo kuwa ni kituko mbele ya jamii.
Ushauri wangu:
Mnyika na Mbowe ni muhimu kufanya intervention ya haraka ya kumsaidia ikibidi kumpeleka hospitali na kumuepusha na mazingira yenye stress.
N.B :Huwezi kumkashifu legend Magufuli mbele ya watanzania ukategemea usikilizwe.
Mikutano imedoda na kiki zimegoma.
CDM mpo vizuri sana aisee. Mimi napenda vitu vizuri, napenda changamoto, napenda mwisho mwema. CDM sina bdi kuwapa maua yenu.Cdm ni zaid ya chama cha siasa.
Usilinganishe kikundi cha kufisadi rasilimali za nchi ccm na taasisi pendwa cdm.
Zipo za kutoshaKizuri chajiuza braza...tulikuwa tunapeana updates humu kama unakumbuka mkongwe.leo ni aibu tupu kwenda live.
Napiga kwenye mshono tu...
Jingalao umetelekezwa baada ya mfadhili wenu kuwatokaTuwekeeni sasa mbona maandishi mengi
Kuwa mpole sisi ni SIMBA leo ni siku yetu subiriTuwekeeni sasa mbona maandishi mengi
Lisu anafundisha wananchi huko geita .. mtakuja shituka nchi haiwataki kabisa maccmBila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.
Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya....
1-PTSD
2-BDD
magonjwa haya yanamuondolea utulivu wa kiakili na kimwili na hivyo kuwa ni kituko mbele ya jamii.
Ushauri wangu:
Mnyika na Mbowe ni muhimu kufanya intervention ya haraka ya kumsaidia ikibidi kumpeleka hospitali na kumuepusha na mazingira yenye stress.
N.B :Huwezi kumkashifu legend Magufuli mbele ya watanzania ukategemea usikilizwe.
Mikutano imedoda na kiki zimegoma.
Sukuma gang walitaka kumtumia Lisu kumshambulia Samia lkn Lisu ameamua kuwa mkweli kwa kuongea ukweli kuwa jiwe alikuwa mwizi. Sukuma gang wamefura. Ama kweli ukweli unauma.Tangu mfadhili wenu jiwe awaache yatima mmekosa kabisa pa kujishikiza
Legend aliekua na file mirembe,labda ligendi taahiraBila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.