Mbowe amejitahidi kuifufua CHADEMA ila Lissu ndio kapigia jeneza msumari wa mwisho!

Sukuma gang walitaka kumtumia Lisu kumshambulia Samia lkn Lisu ameamua kuwa mkweli kwa kuongea ukweli kuwa jiwe alikuwa mwizi. Sukuma gang wamefura. Ama kweli ukweli unauma.
Sukuma gang wote sasa hivi wamelainika utadhani kuku wa kizungu.
 
Pole mjane wa Magufuri historia yake ilishaandikwa kwa mazuri yake na mabaya yake,kama hukuona mabaya yake wale woote waliotendewa vibaya na Magufuri wana haki ya kumsema japo alishakufa.
 
Pole mjane wa Magufuri historia yake ilishaandikwa kwa mazuri yake na mabaya yake,kama hukuona mabaya yake wale woote waliotendewa vibaya na Magufuri wana haki ya kumsema japo alishakufa.
Yaani mnatumia Ruzuku kumsema Magufuli...wahedi kabisa .Fanyeni Siasa za maendeleo sio porojo za kutukana viongozi.
 
Yaani mnatumia Ruzuku kumsema Magufuli...wahedi kabisa .Fanyeni Siasa za maendeleo sio porojo za kutukana viongozi.
Yaani unaumia sana umesahau kuwa Magufuri hakuwa Malaika wala Yesu kwa nini ufiche maovu yake kwa kisingizio cha Viongozi.
 
makuwadi ya dpworld lissu kawapiga dawa mpaka akili zimewaruka na bado lissu ongeza dawa haya mapumbavu yapone haraka maana yanaugonjwa bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…