ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Sisi ndiyo waamuzi lazima mkataba utekelezwe kwa sababu ulishapitishwa na bunge. Nyie ni looser!makuwadi ya dpworld lissu kawapiga dawa mpaka akili zimewaruka na bado lissu ongeza dawa haya mapumbavu yapone haraka maana yanaugonjwa bado.
Mbona CCM iliyojaa Majizi wa kila Aina mmeshindwa kuwapa Wawekezaji ili isiendeshwe kwa wizi na hasara za kila mara?Sisi ndiyo waamuzi lazima mkataba utekelezwe kwa sababu ulishapitishwa na bunge. Nyie ni looser!
ππππππππππππBila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.
Mwenendo,kauli na maneno ya lissu kwenye majukwaa mbalimbali yanaashiria ameathirika kisaikolojia na inawezekana ana magonjwa mawili kati ya haya....
1-PTSD
2-BDD
magonjwa haya yanamuondolea utulivu wa kiakili na kimwili na hivyo kuwa ni kituko mbele ya jamii.
Ushauri wangu:
Mnyika na Mbowe ni muhimu kufanya intervention ya haraka ya kumsaidia ikibidi kumpeleka hospitali na kumuepusha na mazingira yenye stress.
N.B :Huwezi kumkashifu legend Magufuli mbele ya watanzania ukategemea usikilizwe.
Mikutano imedoda na kiki zimegoma.
Mwaka mmoja baadaye matamanio yako yamefika wapi?Bila shaka huko aliko Mwenyekiti Mbowe anauma mdomo na kugonga meza kwa maboko anayotoa lissu kwenye majukwaa hivi sasa.