Mbowe amepoteza sifa za kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

Mmepiga propaganda mmeona zimewashinda mnaanza kujidai mnatoa ushauri CDM,mbona kwenu ya kurekebisha ni mengi sana?wafuasi wa chama cha kurithisha uongozi utawajua tu,toa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo utoe kibanzi katika jicho la mwenzio.
 
Mtei amemrithisha mbowe uenyekiti na mbowe ameupenda hataki kuuachia hadi amrithishe anayemtaka. Rejea maneno ya said arf wakati anabwaga manyanga, alisema kwa wamechoshwa na tabia ya mtei kuwachagulia viongozi
 
Akili zilizo oza
 
CCM tayari mmeshampata wa kumrithi MR.MBOWE????.Nyie CCM ndo mnataka muongoze hata CHADEMA kwa kila kitu cjui hiyo huruma inatokana na nini jamani????.Kama mnaona CHADEMA inafaa sana, basi VUNJENI CCM ili mjiunge na chama cha ukombozi(CHADEMA).
 
Bado ni kijana, ana nguvu na fikra nyingi mbadala hatutaki aondoke mpaka atuvushe salama ndo tutamwachia.
 
----- wewe mada yako haina kichwa wala miguu,unaonekana akili yako haifikirii kwa umakini na kujua upi ni kiongozi mzuri,nasikia ma-ccm yanamuandaa mama na wasila,yana tunawasubiri ili tuchukue nchi kiulaini.chadema hoyeeeeeeeeeeeee
 
Kwani mwenyekiti wenu ana sifa gani zaidi ya mbowe? Mbona kama umevurugwa?

mwenyekiti wetu? Nani? Mi binafsi sina kadi ya Chama Chochote ila ni Mpenzi wa mabadiliko ya kweli na Democrasia ya kweli.
Sababu anazotumia mbowe kung'ang'ania madaraka ndizo hutumiwa na madikteta wote kuminya democrasia ata CCM KUENDELEA KUNG'ANG'ANIA MADARAKA HADI KWA MBINU CHAFU.
 
Bado ni kijana, ana nguvu na fikra nyingi mbadala hatutaki aondoke mpaka atuvushe salama ndo tutamwachia.

ni sawa na hoja alizokuwanazo Samweli Edo na Charesi Stela wakati wanang'ang'ania madaraka. Waliingia wakisapotiwa kwa nguvu wakatoka ama kwa kuuawa au kufungwa gerezani. Kisa eti walikuwa vijana wenye nguvu
 
he knows how to hold his hammer, he knows where to hit and when.
 
There is no best leader in Chadema than Mbowe. kama yupo nitajieni? so Chadema hamna namna wanaweza kusonga mbele kwa sasa bila Mbowe. ! "Chadema Bila Mbowe haiwezekani"
 
CCM tayari mmeshampata wa kumrithi MR.MBOWE????.Nyie CCM ndo mnataka muongoze hata CHADEMA kwa kila kitu cjui hiyo huruma inatokana na nini jamani????.Kama mnaona CHADEMA inafaa sana, basi VUNJENI CCM ili mjiunge na chama cha ukombozi(CHADEMA).

aliyeanzisha uzi si CCM wala chadema ni Mzalendo asiyenachama.
Ccm na CHADEMA ndio vyama vilivyoshikilia na kuhodhi siasa ya Tanzania. Lazma tuvikosoe viendeshwe kwa weredi kwa manufaa ya taifa.
Nisingeizungumzia kabisa CHADEMA WALA MBOWE IWAPO wasingekuwa na dhamana yoyote kwenye nchi hii ila nalazimika kwani tunakawia kufikia mabadiliko sababu ya waroho na wanaojiona wao ni bora wachache
 
----- wewe mada yako haina kichwa wala miguu,unaonekana akili yako haifikirii kwa umakini na kujua upi ni kiongozi mzuri,nasikia ma-ccm yanamuandaa mama na wasila,yana tunawasubiri ili tuchukue nchi kiulaini.chadema hoyeeeeeeeeeeeee

unajua tamaa mbaya kama ya fisi ya kutaka kuwala wanyama wakiwa wanatembea kabla ya kuwaua imemfanya ashindwe kabisa kumuwinda twiga.

Elimu ya uraia bado wananchi wengi haijawafikia na zaidi ya nusu huwa hawapigi kura. Chadema mmelala usingizi wa pono mnasubiri mkiamka tu muingie ikulu. Wananchi wengi sio wafuatiliaji wa siasa na hawajui kinachoendelea.

Mwanachadema ninaemkubali zaidi ni kamanda MAWAZO anaetumia muda wake mwingi kuijenga chadema vijijini na kutoa elimu ya uraia.
SIO HAO WAPIGANIA VYEO NDANI YA CHADEMA.

Mawazo ndio kama katibu mwenezi wa kweli Makene ni wa kwenye Media na Press Confrence
 
There is no best leader in Chadema than Mbowe. kama yupo nitajieni? so Chadema hamna namna wanaweza kusonga mbele kwa sasa bila Mbowe. ! "Chadema Bila Mbowe haiwezekani"

Eeeh! Hii ni noma sana na sijawahi isikia, yaani cdm woooote.... Anayeweza kuongoza ni Mbowe tu. Mmmh! Kama ni limbwata limekukolea kisawasawa.
 
Hoja yako ni nzuri lakini ni nonsense maana uchaguzi ni Juni na naamini Mbowe hatogombea. lakini vile2 pendekezo lako la kufundwa Lema au Mdee ni feki na hapa ndipo nnapohisi huna nia njema na CDM wewe! Maana sababu za kupumzika Mbowe Mathalan na.4 (propganda) hujaondoa alaf hawa wote hawana sifa na.2 (uvumilivu) uliyosema. Ningekuelewa kidogo ungesema Dr. Slaa, Prof Safari, Baregu, Lwakatare nk
 
Mkuu wangu Le Mutuz with due respect kiri toka moyoni lini uliwahi itazama Chadema positively mpaka uje ubadilike jana mchana? Naona baada ya mbinu ya kuweka pandikizi kushindikana pamoja na mihela mingi mliyomwaga sasa mnakuja na style ya kumwomba Mwenyekiti ajiuzulu. Mzee wako Yusuph Makamba aliwahi kusema "ukiona adui yako anakusifia kwa jambo fulani ujue unakosea na ukiona anakukosoa sana ujuendio upo sahihi...Hapa naamini Mbowe ni mwiba sana kwenu na kisiki cha mpingo...acheni bla blah bwana hebu shughulikeni na Lowassa aliyewashinda, nyie vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…