PreGE2025 Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?

===

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.

IMG_4001.jpeg

Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.

Soma, Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.

Chanzo: Jambo TV
 
View attachment 3306516

G55 watanuna
 
Dadeeeeeeeeeeeeki vizabizabina wamekosa hoja tena! Shenzi kabisa, CCM wamepigwa za chembe tena
 
Bila Shaka lissu atatupa taulo baada ya pasaka maana mbowe atakuwa amemkumbusha chama hakiwezi ku survive bila ruzuku.
Hataki rushwa,wenye maono na taifa lao wataliwezesha kuelea
 
Siyo kila anaekuja kukusalimia kaja kukujulia hali
 
Wakuu!

Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?

===

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.

View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.

Soma, Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.

Chanzo: Jambo TV
kuna mijinga ilikua inajipakua yenyewe mitandaoni ilikua inamtukana mbowe eti kwanini hajatoa tamko au kumtembelea.
mbowe ni bonge la smart hua hakurupuki kama wehu wa Lisu na Lema
 
Maigizo hayapo kaole pekee au TASaBa.
 
Back
Top Bottom