PreGE2025 Mbowe amjulia hali Tundu Lissu, Wateta kwa saa moja Gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wakuu!

Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?

===

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.

View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.

Soma, Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.

Chanzo: Jambo TV
Hiyo picha ndiyo wakiwa keko? Ht km haisaidii atanyea ndoo tu
 
IMG-20250416-WA0066.jpg
 
Mbowe haaminiki tena, Yuko upande WA watesi wetu
 
Mbowe is a gentleman. Wakati yeye Mbowe akiwa korokoroni, huyo Mhuni Lissu HAKUWAHI kwenda kumtembelea. Atakufa vibaya sana Lissu!!

By the way, hivi Mbowe hajaenda na fedha za Abduli kweli? Ahahahahaha!!!
 
Sijawahi kufikiria kuwa eti wale Njaa55 wanatumwa na Mbowe.

Mbowe toka siku ya kwanza alipoanguka kwenye uchaguzi, alisistiza sana umoja ndani ya chama.
 
Mbowe haaminiki tena, Yuko upande WA watesi wetu
Tusipende kuropoka mambo yasiyo na uhakika.

Lisu pamoja na kumshinda Mbowe kwenye uchaguzi, alitamka wazi kuwa daima atamheshimu Mbowe kwa kukifikisha chama mpaka kilipofika.
 
Mbowe is a gentleman. Wakati yeye Mbowe akiwa korokoroni, huyo Mhuni Lissu HAKUWAHI kwenda kumtembelea. Atakufa vibaya sana Lissu!!

By the way, hivi Mbowe hajaenda na fedha za Abduli kweli? Ahahahahaha!!!

Kumbe wewe itakufa vizuri? Kumbe ungali unafanya nini hapa? Sinufe vizuri tu?
 
Wakuu,

Jana hapa sisi wadau wenye nia njema na nchi tulihoji ukimya wa Freeman Mbowe kuhusu sakata la kukamatwa kwa Tundu Lissu.

Sasa sijui ni Mbowe alisoma uzi wangu au la, lakini leo Jambo TV wameripoti kwamba Mbowe akiwa na makada wengine wa CHADEMA walimtembelea Lissu mahabusu.

Haya ndo mambo wanachama wenu wanapenda kusikia, let love lead!

=========================

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.

Chanzo chetu cha habari kilichowanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.

Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.

IMG_0979.jpeg

Source: Jambo TV
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Nuru na Giza havikai pamoja na yeye ni Nuru

Lisu amesema haya baada ya kuwa alitembelewa na wageni mbalimbali akiwemo Mwenyekiti mstaafu mh Mbowe na Rugaya wa ACT wazalendo

Usiku huu Yuda Iskarioti alimsaliti Masihi wa Mungu
 
Wakuu!

Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?

===

Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.

View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.

Soma, Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025

Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.

Chanzo: Jambo TV
Alitukwa kunegotiate uyo hana lolote ila mwamba lissu kachomoa
 
Lissu kasema hataki mambo ya gizani
 
Back
Top Bottom