Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
G55 watanunaMwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.
View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.
Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.
Chanzo: Jambo TV
Hii habari ni ya kweli?G55 watanuna
Dadeeeeeeeeeeeeki vizabizabina wamekosa hoja tena! Shenzi kabisa, CCM wamepigwa za chembe tenaMwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.
View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.
Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.
Chanzo: Jambo TV
Wacha weeeeee hahahahaha mnaruka na kukanyaganaMbowe ni mwerevu, tatizo ni chadema ilimharibu
Ona huyu naeWapekuliwe vizuri huenda wameenda kumlisha sumu Lisu.
Hataki rushwa,wenye maono na taifa lao wataliwezesha kueleaBila Shaka lissu atatupa taulo baada ya pasaka maana mbowe atakuwa amemkumbusha chama hakiwezi ku survive bila ruzuku.
kuna mijinga ilikua inajipakua yenyewe mitandaoni ilikua inamtukana mbowe eti kwanini hajatoa tamko au kumtembelea.Wakuu!
Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?
===
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.
View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.
Soma, Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.
Chanzo: Jambo TV
PumbavuBila Shaka lissu atatupa taulo baada ya pasaka maana mbowe atakuwa amemkumbusha chama hakiwezi ku survive bila ruzuku.
Maigizo hayapo kaole pekee au TASaBa.kuna mijinga ilikua inajipakua yenyewe mitandaoni ilikua inamtukana mbowe eti kwanini hajatoa tamko au kumtembelea.
mbowe ni bonge la smart hua hakurupuki kama wehu wa Lisu na Lema
Unatuabisha sana sisi Wasukuma.Wapekuliwe vizuri huenda wameenda kumlisha sumu Lisu.