saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Hiyo picha ndiyo wakiwa keko? Ht km haisaidii atanyea ndoo tuWakuu!
Hawa G-55 watakuwa na hali gani huko waliko kama kweli Mbowe, anayedaiwa kuwa nyuma yao ameenda kumtembelea TAL?
===
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe akiambatana na Salum Mwalimu aliyekuwa Naibu katibu Mkuu wa Chama hicho Zanzibar pamoja na Daniel Naftal Ngogo, mwandani wa karibu wa kiongozi huyo Mstafu wa Chadema wamefika gereza la Keko Jijini Dar Es salaam na kumjulia hali Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu leo Jumatano Aprili 16, 2025, majira ya saa sita Mchana.
View attachment 3306516
Kwa mujibu wa Jambo TV, wanadai waliwanasa viongozi hao wakiwa kwenye mazungumzo, kimeeleza kuwa wawili hao wamefanya mazungumzo kwa muda wa takribani saa moja, wakijadili na kuzungumza masuala mbalimbali.
Soma, Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Lissu Aprili 10, 2025 alirudishwa mahabusu baada ya kusomewa shitaka la uhaini katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kufuatia kushindwa kujitetea kutokana na kosa hilo kumnyima dhamana na nafasi ya kujitetea, akituhumiwa pia kuchapisha taarifa za uongo kwenye mtandao wa kijamii wa X akitarajia kupandishwa tena mahakamani Aprili 24 mwaka huu.
Chanzo: Jambo TV
Wakuu!

Mbowe haaminiki tena, Yuko upande WA watesi wetuWakuu!

Mbowe is a gentleman. Wakati yeye Mbowe akiwa korokoroni, huyo Mhuni Lissu HAKUWAHI kwenda kumtembelea. Atakufa vibaya sana Lissu!!Wakuu!

Tusipende kuropoka mambo yasiyo na uhakika.Mbowe haaminiki tena, Yuko upande WA watesi wetu
Mbowe is a gentleman. Wakati yeye Mbowe akiwa korokoroni, huyo Mhuni Lissu HAKUWAHI kwenda kumtembelea. Atakufa vibaya sana Lissu!!
By the way, hivi Mbowe hajaenda na fedha za Abduli kweli? Ahahahahaha!!!
Alitukwa kunegotiate uyo hana lolote ila mwamba lissu kachomoaWakuu!