Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia.

Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na kutoa fomu moja kama wale wenzetu?

Waachwe wote wagombee, wapiga kura wataamua, na katiba inaruhusu Mbowe akae hata miaka 50.
 
Hilo unaloliita genge nadhani lina sababu za msingi kuweka hilo shinikizo. Hakuna shaka kwamba CDM sasa inahitaji nahodha mpya. Ayatollah Mbowe ameiongoza CDM kwa kipindi ambacho kinatosha kwa yeye kutekeleza mipango yake yote aliyokuwa amekusudia kuitekeleza. Kama hakuweza kufanya hivyo kwa miongo zaidi ya miwili iliyopita, hakuna sababu ya kuamini kwamba atafanya hivyo akipewa muhula mwingine zaidi.

Hata hivyo, traditionally, vyama vya siasa almost duniani kote humuacha kiongozi mkuu wa chama aliye na nia ya kugombea tena apate nomination ya kugombea bila kupingwa. Ni utamaduni unaolenga kuepusha mpasuko ndani ya chama. Naturally, incumbent akishindania hiyo nafasi na watu ambao ni wasaidizi wake, tafisri ya haraka ni kwamba wale wasaidizi wake wamemuona kuwa hatoshi. Hii hali huzaa mistrusts baina yao. Baada ya uchaguzi, akishinda, upo uwezekano mkubwa wa huyo kiongozi kuwa na visasi dhidi ya wale waliokuwa wanajaribu kumpokonya nafasi yake ya uongozi. Ndiyo maana hata Hangaya alifanya preemptive strikes mapema kabisa alipoona kulikuwa na wasaidizi wake waliokuwa tayari wanajipanga kuwa challengers wake come 2025.

Ayatollah Mbowe akikubali kung’atuka sasa atakiacha chama kikiwa united na kiko tayari kwa mapambano na external political foes wake. Kinyume chake, CDM itafuata nyayo za NCCR Mageuzi na CUF, before you know it! As a seasoned political leader, Ayatollah Mbowe should be wise enough to know this!
 
Duh.. Kila saa inaibuka mada mpya kuhusu CHADEMA na viongozi wake wakuu.. Maadui wakubwa kabisa wa CDM sasa wanajifanya ni marafiki wema kweli kweli
 
Hilo unaloliita genge nadhani lina sababu za msingi kuweka hilo shinikizo. Hakuna shaka kwamba CDM sasa inahitaji nahodha mpya. Ayatollah Mbowe ameiongoza CDM kwa kipindi ambacho kinatosha kwa yeye kutekeleza mipango yake yote aliyokuwa amekusudia kuitekeleza. Kama hakuweza kufanya hivyo kwa miongo zaidi ya miwili iliyopita, hakuna sababu ya kuamini kwamba atafanya hivyo akipewa muhula mwingine zaidi.

Hata hivyo, traditionally, vyama vya siasa almost duniani kote humuacha kiongozi mkuu wa chama aliye na nia ya kugombea tena apate nomination ya kugombea bila kupingwa. Ni utamaduni unaolenga kuepusha mpasuko ndani ya chama. Naturally, incumbent akishindania hiyo nafasi na watu ambao ni wasaidizi wake, tafisri ya haraka ni kwamba wale wasaidizi wake wamemuona kuwa hatoshi. Hii hali huzaa mistrusts baina yao. Baada ya uchaguzi, akishinda, upo uwezekano mkubwa wa huyo kiongozi kuwa na visasi dhidi ya wale waliokuwa wanajaribu kumpokonya nafasi yake ya uongozi. Ndiyo maana hata Hangaya alifanya preemptive strikes mapema kabisa alipoona kulikuwa na wasaidizi wake waliokuwa tayari wanajipanga kuwa challengers wake come 2025.

Ayatollah Mbowe akikubali kung’atuka sasa atakiacha chama kikiwa united na kiko tayari kwa mapambano na external political foes wake. Kinyume chake, CDM itafuata nyayo za NCCR Mageuzi na CUF, before you know it! As a seasoned political leader, Ayatollah Mbowe should be wise enough to know this!
Muacheni akashindwe mwenyewe kwenye sanduku la kura, nyie hofu yenu nini kama mna nguvu za kisiasa?
 
Back
Top Bottom