chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia.
Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na kutoa fomu moja kama wale wenzetu?
Waachwe wote wagombee, wapiga kura wataamua, na katiba inaruhusu Mbowe akae hata miaka 50.