Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

Ukisha kufa wewe Chawa CCM tutaiondoa Madarakani
 
Acheni unafiki nyie wanafiki. Akina Magufuli waliokuwa wanaua watu mbona hamkuwambia wajiuzulu hadi Mungu mwenyewe akaingilia kati.

Wewe unajua Mandela alifungwa jela miaka 27 kwa tuhuma feki kama hizi ambazo ccm walimuundia Mbowe lkn bado alitoka jela na akaja kuwa rais.

Mmeona mlikuwa mnaenda kumalizwa kwenye utetezi mkaomba poo kiaina. Ccm ilishaisha imebaki dola tu eti ndio inaipigania, chama kipo madarakani toka uhuru lakini eti inaogopa vyama vya upinzani. Bogus kabisa.
 
Mkuu 'Tindo', ninakubaliana nawe juu ya CCM kutegemea nguvu za dola.

Ukiangalia watendaji wooote kila mahali ndani ya serikali na mihimili yote, na hata vyombo vya usalama wa nchi yetu, hawa wamewezeshwa na CCM kuwa hapo walipofikia na kazi yao kubwa ni kulinda maslahi yao na ya CCM ili yaendelee.

Mnyororo huu ndio unaotakiwa kuvunjwa kama nchi hii itarudi tena kwenye misingi ya HAKI na UHURU.

Sasa nakuomba wewe na wengineo muweke fikra zenu kwenye hili uliloendelea kulisemea kwenye bandiko lako, kana kwamba ni jambo tusiloweza kulikabili. Umeandika: "Ni kweli kabisa CCM ndani ya vyombo vya dola itaendelea kuburuza wakati watu bado ni waoga..."

Hapajapata kuwa na nafasi nzuri ya kuleta mabadiliko nchini mwetu kama ilivyo sasa hivi. Kusubiri hadi watu watakapokuwa hawana uoga, sijui kutapatikana vipi na lini?

Kwa sasa hivi tegemeo kubwa ni CHADEMA kuwaongoza wananchi ili wananchi wayalete mabadiliko hayo wakati ndani ya CCM kama ilivyo sasa hakuna kiongozi yeyote mwenye ushawishi na uwezo wa kuwastua wenzake waondoke ndani ya ndoto iliyowanyemelea kwa muda mrefu sasa, ya kudhani wao ndio wao pekee ndani ya nchi hii.

Kwa hiyo, wewe na mimi tuzidi kuwahimiza na kuwasukuma hawa CHADEMA wajue wajibu wao kwa wananchi wa Tanzania katika nyakati hizi katika uhai wa taifa letu.
 
Mtoa mada umekamatwa kweli
Hili la Mbowe litakusumbua sana
DPP amesema hakuna kesi

Utakase moyo wako una chuki iliyopitiliza kuliko ya Herode kha
Kunywa dawa ulale
 
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
Wakijani mshakuwa vichekesho hata kwa watoto.
Walewale mliyokuwa na akina Sabaya,Jiwe na Ndugai, ndio walewale walokuwa wameweka matumaini yao kwenye kesi ya kubumba na ndio walewale waliokuwa wanashindana kuokoteza mapandikizi ili kuyaleta kwenye uenyekiti wa CHADEMA.
Kama mlidhani mtapata kupumua mmeliwa, MOTO NI ULEULE.
 
Ukimaliza kulia wahi ukamywe dawa zako za kushusha pressure, wanao bado wadogo wanakuhitaji.
 
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Wanaogopa nini?
 
Sherehe mliyokuwa mmeandaa imeingia vumbi.
Nadhani umshauri pia mkafungue kesi yenu; Kingai, Sabaya, Ndugai, Urio, wale Majaji wa mchongo pamoja na wa shetani wote bado wapo.
 
Hivi huwa haupendi kubadilika kimaono au ndivyo ulivyozaliwa tu?Jitahidi hivyohivyo kubadilika Utapata shambulio la moyo bure!
 
Unaumia ukiwa wapi mzee stroke?
 

"Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani."

Hiiiiii bagosha!

Unaandika kama Jaji wa mahakama ipi mjomba?
 
Kilaza mkubwa!
 
Mtoa mada hajawi kuwa sawa anapo lisikia jina la Mwenyekiti wa Cdm kwake ni hatari kwa maisha yake Duniani.
 
Legacy ya Mwendawazimu mna roho mbaya sana..
mnateseka mzee Mbowe kuachiwa na kwenda IKULU..?! Jinyonge tu.
 
Baseless observation.
 
Dogo unatema upupu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…