Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wanatamani afungweHata 24hrs bado hajamaliza uraiani mshaanza uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatamani afungweHata 24hrs bado hajamaliza uraiani mshaanza uchawi
Ukisha kufa wewe Chawa CCM tutaiondoa MadarakaniHapa umeshindwa kuelewa point yangu ndogo tu kuwa.
Kwakua kulikua na uamuzi wa mahakama kuwa mbowe ana cha kujibu ilipaswa ajibu ili audhihirishie uma yote hayo unayoyasema kwa ajili ya kuweka rekodi sawa.
Ila rekodi iliyopo mpaka sasa haimpi faida yeye kwani inasomeka kwamba alikutwa na kesi ya kujibu katika tuhuma za ugaidi.
Mawakili na wanachama wangepaswa kumshauri afanye hivyo ila wote wanashangilia.
Hili ni anguko la kisiasa na uzembe wa hali ya juu kwa Chadema.
CCM imeendelea kuonesha ukomavu wa kisiasa na mbinu dhidi ya Chadema.
Kuiondoa sio leo wala kesho bado ipo ipo sana.
Mkuu 'Tindo', ninakubaliana nawe juu ya CCM kutegemea nguvu za dola.Maamuzi kwa hisia wakati uhalisia tunauona! Ccm kama chama kimeshapotea, imebaki nguvu ya dola pekee. Ni kweli kabisa ccm ndani ya vyombo vya dola itaalendelea kuburuza wakati bado watu ni waoga, lakini uoga ukiondoka ndio mwisho wa hiyo ccm mfu unayoiongelea.
Wakijani mshakuwa vichekesho hata kwa watoto.Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
AMENMtoa mada umekamatwa kweli
Hili la Mbowe litakusumbua sana
DPP amesema hakuna kesi
Utakase moyo wako una chuki iliyopitiliza kuliko ya Herode kha
Kunywa dawa ulale
Ukimaliza kulia wahi ukamywe dawa zako za kushusha pressure, wanao bado wadogo wanakuhitaji.Ukiweka siasa pembeni utaona kwamba ilimpasa mbowe ajitetee ili kuruhusu mchakato mzima kukamilika , ama la basi DPP asingefunga ushahidi na mahakama kutoa maamuzi kuwa ana kesi ya kujibu. Angepaswa kuonesha nia ya kutoendelea kabla ya kumaliza ushahidi wake na mahakama kutoa maamuzi.
Huu tena ni ushindi mwingine kwa serikali na maamuzi ya kukurupuka ya Chadema.
Hapa mmepigwa bao. Endeleeni tu kushangilia ila rekodi za mahakama zinawasuta.
Inashangaza eti mnaojiita Chama Kikuu cha Upinzani mnafanya reckless decisions kila mara. Hamfai kupewa dola.
Wanaogopa nini?Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Sherehe mliyokuwa mmeandaa imeingia vumbi.ndugu Stroke linapokuja suala la kumsema MBOWE jiuzulu au kumsema vibaya mbowe utakula matusi yasiyo na idadi wafuasi wa mbowe nisawa kabisa na wafuasi wa MWAMPOSA au wa MFALME ZUMARIDI yaani hawajulkikani kama wana akili sawasawa au hawana akili kabisa wao ni kuropoka tu na kupandisha mashetani kama wale misukule wa zumaridi waache watakuharibia siku bure
Hata kule kwa Sabaya yaonekana nako hivyohivyoAlikuwa amebet, mkeka umechanika. Ndio waliokuwa waimbaji wakubwa wa kibwagizo: Mbowe ni gaidi. Sasa kinyume
Hivi huwa haupendi kubadilika kimaono au ndivyo ulivyozaliwa tu?Jitahidi hivyohivyo kubadilika Utapata shambulio la moyo bure!Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.
Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya taasisi yeyote ya uma ikiwa na kigezo nilichokitaja awali cha uadilifu wa viongozi wake.
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.
Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.
Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.
Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado. DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.
Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.
Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.
The good things could have been to let Mbowe testify and the court to rule as to whether Mbowe is guilty or not but so far as we speak the allegations have not been cleared against him thus he must resign.
Unaumia ukiwa wapi mzee stroke?Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.

Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.

Kilaza mkubwa!Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.

Legacy ya Mwendawazimu mna roho mbaya sana..Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.

Baseless observation.Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.

Huyo ni mchumia tumbo,hana certificate yoyote ya law.Ndio Ile certificate ya Law from Zoom College imekufikisha hapo?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Dogo unatema upupu sanaUadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma.