DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hivi umesoma vizuri mkuu? Au akili yako imewahi kwenda habari za kununuana?
Nimesema lengo ni kuwa na serikali yenye sura ya utaifa bila kujali chama, dini wala kabila la mtu.
As long as wewe ni mtanzania na una sifa basi unafaa kupewa nafasi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania wenzio.
 
Kwa taarifa hizo ni uzushi. Mh. Mbowe anajua gharama atakayolipa kwa vyama pinzani, chama chake mwenyewe CDM pamoja na wanaounga mkono upinzani.Hawezi kukurupuka unless aachie kitu chake au kuhama chama na kuingia CCM si rahisi kihivyo mtoa mada
Mkuu shuka chini kidogo usome post namba #23 ufafanuzi wote upo kule.
 
Mbwa sana, what if angetaa mikutano ya hadhara na mengineyo. Upuuzi wa namna hii wafikishie wapumbavu wenzio wakiwa wazazi wako waliokuzaa!
 
Atawapa ubunge wa Ikulu et eeeh?
 
Point ya mwisho futa uhuni wa kumfunga Mbowe Magufuli hakukubali kamwe.
 
Ndo maana mie mwenzenu haya mambo ya siasa siyatoleagi macho kivile,, mpinzani wa kweli bongo hayupo, narudia tena hayupo, wote wanatafuta vyeo(ulaji) kwa ajili ya wao na familia zao, rejea kwa Edward lowasa, tambwe hiza, dokta mashinji, etc.
Unaonaje ukitutengenezea upinzani wa maana?
 
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Vipi yule msaliti
Mzee wa ubwabwa je
The profesorio naye
Vipi Mapesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…