DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duh!

Umeandika mkuu 'The Palm Beach', nami kwa kiasi kikubwa ningekubaliana nawe kumhusu Mbowe, hadi alipoingia Samia!
Ok..
Mbowe, mbele ya Samia ameyeyuka!
Hapana. Labda unafikiria..
Hebu nieleze kiuhakika: Kisiasa Mbowe na Samia wanatofautiana vipi?
Mimi sioni tofauti na ndiyo maana nimeandika hayo kumhusu..

Labda wewe ndiye ueleze mfanano wao ni upi...

Mbowe na chama chake wanatofautiana kwa lipi, ambalo Samia hakubaliani nao?

Kazi kubwa iliyobakia sasa ni kwa Samia kulizima kundi lililoko CCM linalotofautiana naye. Akimaliza kazi hiyo, CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe hawatakuwa na tofauti yoyote.
Ndiyo nimesema, tufunulie kutakuwa na mfanano gani...
Ni kazi rahisi tu, baada ya hapo, kueleza watu kwamba wamekubaliana kuwa pamoja, na stori ndefu ndefu sana za kulaza usingizi watu.

Huko CHADEMA ninayeweza kuona shida juu yake kukubaliana na msimamo huo ni Lissu, na pengine Heche.
Mimi sioni hilo
Wengine wote watapiga vigelegele kuelekea kwenye umoja wao wa CCM ya Samia, na CHADEMA ya Mbowe.

Akina Kabwe wao tayari wapo huko CCM ya Samia.
Tusubiri tuone.

Lakini.......,...
 
Back
Top Bottom