ha ha ha, acha utani ...Apewe ubunge wa kuteuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha, acha utani ...Apewe ubunge wa kuteuliwa
Kweli kabisa. Fujo na matusi havina faida wala tija katika siasa za miaka hii.Hakika mkuu, ni hizi ndio siasa za kisasa.
Ungemalizia pia naHabari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.
Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.
Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen [emoji2969][emoji2969][emoji2969]
Ya mzee Athumani kaangukia puaKuna mkubwa nasikia katenguliwa huko juu.
Kwanini mkuu?ha ha ha, acha utani ...
Asante kwa kuliona hilo mkuuKweli kabisa. Fujo na matusi havina faida wala tija katika siasa za miaka hii.
Nimeandika Mungu ailinde nchi yetu na kila mwananchi aliepo ndani ya mipaka ya nchi yetu. Sasa wewe unafikiri kuwa Mbowe hayupo ndani ya mipaka ya nchi yetu?Ungemalizia pia na
Mungu mlinde kiongozi shupavu
Mbowe.
Ingeleta ukweli wa andiko Laki.
Sent from my T810S using JamiiForums mobile app
Hahaha mbona jitihada zake zimesaidia kuleta maridhiano ya kisiasa mkuu.Mbowe ameshakuwa SEFU new model. Hapa ni mwendo wa kutuigizia mapambano ya kudai haki huku yeye anaingiziwa mabilioni kila mwaka.
Sufuri kabisa.
Umemwambia kweli kabisa. Siasa za vurugu siku hizi hazina nafasi ndani ya nchi yetu.Kwani upinzani ni minyukano au ugomvi? nyie watu vipi? Basimkama Tanzania hakuna upinzani anzisha wewe chama chako tuone ni vipi utakuwa mpinzani bora kuliko Mbowe au Zitto Kabwe
Unajua Katiba ya CCM inasemaje kuhusiana na nafasi hizo?Afu unaibu waziri wa mambo ya ndani, anafaa sana katika post hiyo.
Hili tulishalidokeza siku nyingi; labda tu ni kwa vile haikuanzishwa kama mada.Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.
Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.
Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲
Ali mradi CCM inaendelea kutawala milele!Umemwambia kweli kabisa. Siasa za vurugu siku hizi hazina nafasi ndani ya nchi yetu.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] hili neno linakua kwa kasi sana,eti na yeye japo amiminiwe asali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114]Mbowe apeleke kibuyu amiminiwe asali.
Kwahiyo kwa hizo akili zako kabisa umekubaliana na huyu kenge alieleta huu uzi?Ndo maana mie mwenzenu haya mambo ya siasa siyatoleagi macho kivile,, mpinzani wa kweli bongo hayupo, narudia tena hayupo, wote wanatafuta vyeo(ulaji) kwa ajili ya wao na familia zao, rejea kwa Edward lowasa, tambwe hiza, dokta mashinji, etc.
Duh!Hujui kuota wewe...!
Humjui Freeman Mbowe wewe...!
Huyo hawezi kuuza utu wake Kwa shekeli otherwise angeshavutaga hela nyingi miaka mingi iliyopita...
Labda hujui tu. Kwa taarifa yako Iko hivi;
✓ John P. Magufuli alikuwa tayari kumpa Freeman Mbowe hata Uwaziri Mkuu (u - PM) ili mradi aiue CHADEMA lakini FM hakuweza kuuza utu wake...
✓ John P. Magufuli alikuwa hata tayari ampe hazina yote ya nchi hii ili mradi aiue CHADEMA, lakini FM hakuweza kuuza utu wake...
✓ Ndiyo maana jamaa (JPM) alipoona amemshindwa kumnasa kwenye hayo, akaamua kujaribu kuivuruga CHADEMA kwa nunua nunua ya wabunge na madiwani nchi nzima, lakini hata hiyo, Mwamba hakutikisika wala Kununa...
✓ Na mwisho wa siku akamsukia Zengwe la kumbambikia likesi la kijinga la ugaidi ambalo nalo lili-backfire hatari kwa kishindo na kwa aibu kubwa kwa waliosuka uhuni huo...
NOTE: Tanzania hii wapo viongozi wawili tu wa vyama vya siasa (vya upinzani) WASIONUNULIKA lakini wakati huohuo hawa ndo sumu ya CCM na serikali yao...
Hawa ni FREEMAN MBOWE (FM) na TUNDU LISSU (TL). Hawa kuwadhibiti ni aidha uwaue tu au watafutie uraia wa Burundi kwa Mwigulu Nchemba...!!!
Sasa hao unataka kuwafananisha na Mh Mbowe?Huwezi kunikalisha kimya wewe kama nani,, au imekuuma kusema hakuna mpinzani wa kweli,, ndio wote janja janja wanatufuta vyeo na wale na familia zao,, mfano dokta mashinji, nusrat hanje, Edward lowasa, tambwe hiza, etc.
Hapo ndio ninapoona huu uzi wako umeuleta kama umbea tuu[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Hahaha Slaa alikwepa kumpigia deki Lowasa kwenye barabara ili apite kama walivyofanya viongozi wengine.
Pumba tupu umeandika hapa[emoji706][emoji706][emoji706],sijui hata nilitaka nin?,ila hii hoja yako ni mfuMkuu hakuna anaetosheka na hela(vyeo) we ujiulizi, kwani museveni kaguta ana njaa gani lkn mbona hataki kuachia madaraka!! Na je kagame? We ujiulizi siku hizi huyo mbowe misele ya kwa bi mdashi haiishi pale jengo jeupe,, kifupi hawa wanasiasa sio watu wakuendekeza sana kiasi kwamba mpaka umchukie mwingine,, muhimu kukaza kwenye shughuli zetu zinazotupatia riziki kama mi mwenzio nilivyoboresha kazi yangu ya udalali.
Umejenga hoja vizur ila hiyo aya hapo mwisho umeharibu kabisaMbowe hana mkakati wa kugombea urais yeye kama yeye; ana mkakati wa kutoa Rais kutoka kwenye chama chake, yeye akiwa pembeni. Alishasema kuwa 2025 hatasimamisha mgombea, maana yake ni kwamba atajikita zaidi katika kutafuta wabunge. CCM wasipojiandaa vizuri 2025, idadi ya wabunge kati yao na CHADEMA itakuwa 50 by 50; na bado kuna ACT wazalendo nayo imeshakuja juu.
Njia wanayoweza kutumia CCM kumdhoofisha Mbowe, ni kuhakikisha kuwa wananzisha chama kingine kwa kivuli cha upinzani ambacho hata ikitokea mambo yakawa magumu 2030, wanahamia huko kisirisiri. CCM wao ndiyo wanatakiwa kuandaa chama ambacho watakuja kuwa tayari kukiachia madaraka. Mpaka muda huu, bado hatujawa na chama pinzani chenye uwezo wa kushika dola kwa usahihi kama wao