DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ikiwa hivyo natembea uchi kutoka kigamboni mpaka mlimani city
Mwaka 2015 nikiwa na ID nyingine kongwe niliwahi kuandika kuhusu Lowasa anapanga kukimbilia chadema baada ya kutemwa ccm. Wapo walionishambulia, walionipinga na walioandika kama wewe hivi. Vigezo vyao vilikuwa kwamba Lowasa ni fisadi kwahiyo isingekuwa rahisi kukubaliwa kujiunga na watu wasafi (chadema ya wakati huo) wengine walisema chadema kamwe hawezi kushirikiana na mafisadi papa kama vile Lowasa na wengineo, eti ni mara kumi chadema inaweza kushirikiana na mchawi lakini sio fisadi Lowasa.

Kifupi maneno yalikuwa mengi sana kwenye uzi ule, ila baada ya siku kidogo za usoni akahamia na cha kuchekesha zaidi akapewa nafasi ya kugombea uraisi. Nilivyofufua uzi nikakuta wengi wameshakimbia ID zao kutokana na aibu ya maneno yao waliyoandika kabla hajahamia chadema, wengine wakaanza kuandika visingizio mbali mbali ambavyo havikuwa hata na mashiko.

So kwahiyo hata wewe ulieandika hivi sikushangai, muda ukifika wa Mbowe kuteuliwa, wewe utapotea kama walivyopotea wale wa 2015. Hii ndio siasa ya bongo.
 
Mbowe ameshakuwa SEFU new model. Hapa ni mwendo wa kutuigizia mapambano ya kudai haki huku yeye anaingiziwa mabilioni kila mwaka.

Sufuri kabisa.
 
Acha keki iendelee kugawanywa kila mtu aionje tu.......maana ni namna ya mtawala kumlainisha mtu anayehisi ni hatari kwake,akipewa hiyo nafasi sidhani kama ataweza tena kuwa na meno mbele ya aliyemuonjesha keki.

#Siasa
 
Ndo maana mie mwenzenu haya mambo ya siasa siyatoleagi macho kivile,, mpinzani wa kweli bongo hayupo, narudia tena hayupo, wote wanatafuta vyeo(ulaji) kwa ajili ya wao na familia zao, rejea kwa Edward lowasa, tambwe hiza, dokta mashinji, etc.
Kwani upinzani ni minyukano au ugomvi? nyie watu vipi? Basi kama Tanzania hakuna upinzani anzisha wewe chama chako tuone ni vipi utakuwa mpinzani bora kuliko Mbowe au Zitto Kabwe
 
Kwani upinzani ni minyukano au ugomvi? nyie watu vipi? Basimkama Tanzania hakuna upinzani anzisha wewe chama chako tuone ni vipi utakuwa mpinzani bora kuliko Mbowe au Zitto Kabwe
Mbona unanifokea mkuu,, relax , yani siasa ndo zinakufanya unakuwa na makasiliko hivyo😮
Mkuu inaonekana ukishawishiwa na mwanasiasa uumue ndugu yako unakubali.
 
Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.

Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.

Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.

Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.

Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲
Kama ni kweli basi hili litakuwa ni jambo jema na la kupongezwa
 
Mbowe yeye shida yake ni 2030; 2025 wala hana habari nayo kabisa. CCM inabidi wawe waangalifu sana; Mbowe huwa ana hekima ambayo watu tulio wengi hatuna
 
Mbowe yeye shida yake ni 2030; 2025 wala hana habari nayo kabisa. CCM inabidi wawe waangalifu sana; Mbowe huwa ana hekima ambayo watu tulio wengi hatuna
Una uhakika kuwa 2030 atakuwa bado yupo hai na atakuwa jinsi alivyo sasa?
Hebu kwanza angalia umri wake na uangalie miaka iliyobaki kuifikia hiyo 2030. Je bado atakuwa huyu Mbowe tulie nae sasa au atakuwa mungine aliewaachia vijana huku yeye akiendelea kuvuta penshen yake ale na wajuu zake.
2023 to 2030 kipengele mkuu, usichukulie poa kihivyo.

Don't forget siasa zinabadilika kutokana na wakati uliyopo.
 
Tujipe muda huenda atapewa ubunge hawezi kukataa maana hiyo nafasi ipo kwa mujibu wa sheria
Swadakta mkuu, hakika wewe una upeo wa mambo haya.

Tena ikimpendeza mh raisi ampe hata unaibu waziri wa mambo ya ndani baada ya huo mchakato wa ubunge kukamilika.
 
Swadakta mkuu, hakika wewe una upeo wa mambo haya.

Tena ikimpendeza mh raisi ampe hata unaibu waziri wa mambo ya ndani baada ya huo mchakato wa ubunge kukamilika.
Akipewa uwaziri tayari ameungana na serikali.
Hata kuwa na uwezo kuikosoa serikali ambayo yeye ni sehemu ya hiyo serikali.

Ubunge hauna mafungamano na serikali atakuwa huru kutoa maoni na kukosoa.
Iliwahi kufanyika enzi za JK kwa kumpa Mbatia na alifanya vuzuri bungeni sana tu hasa upande wa elimu alileta changamoto
 
Utaratibu wa SUK kama zenji Mbowe haezi ukubali.

KATIBA mpya tu ndo njia aitakayo.
 
Una uhakika kuwa 2030 atakuwa bado yupo hai na atakuwa jinsi alivyo sasa?
Hebu kwanza angalia umri wake na uangalie miaka iliyobaki kuifikia hiyo 2030. Je bado atakuwa huyu Mbowe tulie nae sasa au atakuwa mungine aliewaachia vijana huku yeye akiendelea kuvuta penshen yake ale na wajuu zake.
2023 to 2030 kipengele mkuu, usichukulie poa kihivyo.

Don't forget siasa zinabadilika kutokana na wakati uliyopo.
Mbowe hana mkakati wa kugombea urais yeye kama yeye; ana mkakati wa kutoa Rais kutoka kwenye chama chake, yeye akiwa pembeni. Alishasema kuwa 2025 hatasimamisha mgombea, maana yake ni kwamba atajikita zaidi katika kutafuta wabunge. CCM wasipojiandaa vizuri 2025, idadi ya wabunge kati yao na CHADEMA itakuwa 50 by 50; na bado kuna ACT wazalendo nayo imeshakuja juu.
Njia wanayoweza kutumia CCM kumdhoofisha Mbowe, ni kuhakikisha kuwa wananzisha chama kingine kwa kivuli cha upinzani ambacho hata ikitokea mambo yakawa magumu 2030, wanahamia huko kisirisiri. CCM wao ndiyo wanatakiwa kuandaa chama ambacho watakuja kuwa tayari kukiachia madaraka. Mpaka muda huu, bado hatujawa na chama pinzani chenye uwezo wa kushika dola kwa usahihi kama wao
 
Leta ushahidi wa Mbowe kusema hatosimamisha mgombea 2025.

CCM kuanzisha chama kisirisiri naeza kubaliana nawe,

SAUT Mwanza liliandaliwa kongamano,

Dr Slaa na msukuma walikuwa wasemaji,

Tusishangae Musukuma akahamia CCM kuungana na Slaa Ili kuidhoofisha CDM na kuimarisha S.gang lile kundi la mchongo, la kufikirika!!!!!
 
Let's ushahidi wa Mbowe kusema hatosimamisha mgombea.

Let's ushahidi wa Mbowe kusema hatosimamisha mgombea.
Alilisema hilo wakati mama anaingia madarakani.
Tatizo tulilonalo sasa hivi ni kwamba inaweza ikaja ikatokea kwa bahati tu watu wakapigia kura upinzani halafu upinzani wenyewe ukashindwa kuongoza dola. Bado hatujawa na chama cha upinzani ambacho kinaweza kuwa na uwezo wa kuongoza dola katika kiwango hata cha nusu tu cha kile cha CCM. CCM wenyewe ndiyo wanaotakiwa kuhakikisha kuwa kuna chama mbadala ambacho kina uwezo wa kuchukua dola na kuongoza kama wanavyoongoza wao
 
Umri umesonga acha wampe tu apumzike awaachie wajukuu wake hizo harakati
 
Back
Top Bottom