4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Haiwezi kutokea, ikitokea tu ,naamuru malaika wa pembe zote za Dunia kutoa adhabu kali juu yake ,kufukuzwa ndani ya chama ndani ya masaa 7 ,acheni mchezo Mara mojaHabari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele.
Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa.
Ikumbukwe kwamba raisi Samia aliwahi kunukuliwa akitamka mwenyewe kwamba serikali yake anayoiunda angependa kuona anashirikiana na wanasiasa wa vyama vingine vya siasa, ili kutengeneza serikali ya kitaifa ambayo haiegemei upande wowote wa chama.
Na katika hili raisi ameanza kuonesha njia kwa kujiweka mbali na siasa za majitaka, ambazo zimekuwa zikiwafaidisha wapuuzi wachache waliopo ndani na nje ya chama chake.
Mungu ilinde Tanzania yetu
Mungu mlinde raisi wetu
Mungu ilinde amani yetu
na kila aliepo ndani ya nchi yetu
Ameen 🤲🤲🤲