C Chabo JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1,093 Reaction score 1,154 Jan 7, 2023 #161 Mr Dudumizi said: Cheo hicho hakipo kwa sasa. Click to expand... Hata huyo aliyewahi kushika alipewa tu,wala hakukuwahi kuwa na hiyo nafasi na baada yake haijawahi kuwepo tena
Mr Dudumizi said: Cheo hicho hakipo kwa sasa. Click to expand... Hata huyo aliyewahi kushika alipewa tu,wala hakukuwahi kuwa na hiyo nafasi na baada yake haijawahi kuwepo tena
6 Pack JF-Expert Member Joined Apr 17, 2022 Posts 2,819 Reaction score 5,996 Jan 8, 2023 #162 Mr Dudumizi said: Ya mzee Athumani kaangukia pua Click to expand... πππ eti mzee Athumani.
Akilihuru JF-Expert Member Joined May 20, 2022 Posts 1,512 Reaction score 2,980 Jan 8, 2023 #163 Mr Dudumizi said: Asante kwa kuliona hilo mkuu Click to expand... Pa1 mkuu
The Palm Beach JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 1,967 Reaction score 4,267 Jan 10, 2023 #164 Kalamu said: Duh! Umeandika mkuu 'The Palm Beach', nami kwa kiasi kikubwa ningekubaliana nawe kumhusu Mbowe, hadi alipoingia Samia! Click to expand... Ok.. Kalamu said: Mbowe, mbele ya Samia ameyeyuka! Click to expand... Hapana. Labda unafikiria.. Kalamu said: Hebu nieleze kiuhakika: Kisiasa Mbowe na Samia wanatofautiana vipi? Click to expand... Mimi sioni tofauti na ndiyo maana nimeandika hayo kumhusu.. Labda wewe ndiye ueleze mfanano wao ni upi... Mbowe na chama chake wanatofautiana kwa lipi, ambalo Samia hakubaliani nao? Kalamu said: Kazi kubwa iliyobakia sasa ni kwa Samia kulizima kundi lililoko CCM linalotofautiana naye. Akimaliza kazi hiyo, CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe hawatakuwa na tofauti yoyote. Click to expand... Ndiyo nimesema, tufunulie kutakuwa na mfanano gani... Kalamu said: Ni kazi rahisi tu, baada ya hapo, kueleza watu kwamba wamekubaliana kuwa pamoja, na stori ndefu ndefu sana za kulaza usingizi watu. Huko CHADEMA ninayeweza kuona shida juu yake kukubaliana na msimamo huo ni Lissu, na pengine Heche. Click to expand... Mimi sioni hilo Kalamu said: Wengine wote watapiga vigelegele kuelekea kwenye umoja wao wa CCM ya Samia, na CHADEMA ya Mbowe. Akina Kabwe wao tayari wapo huko CCM ya Samia. Click to expand... Tusubiri tuone. Lakini.......,...
Kalamu said: Duh! Umeandika mkuu 'The Palm Beach', nami kwa kiasi kikubwa ningekubaliana nawe kumhusu Mbowe, hadi alipoingia Samia! Click to expand... Ok.. Kalamu said: Mbowe, mbele ya Samia ameyeyuka! Click to expand... Hapana. Labda unafikiria.. Kalamu said: Hebu nieleze kiuhakika: Kisiasa Mbowe na Samia wanatofautiana vipi? Click to expand... Mimi sioni tofauti na ndiyo maana nimeandika hayo kumhusu.. Labda wewe ndiye ueleze mfanano wao ni upi... Mbowe na chama chake wanatofautiana kwa lipi, ambalo Samia hakubaliani nao? Kalamu said: Kazi kubwa iliyobakia sasa ni kwa Samia kulizima kundi lililoko CCM linalotofautiana naye. Akimaliza kazi hiyo, CCM ya Samia na CHADEMA ya Mbowe hawatakuwa na tofauti yoyote. Click to expand... Ndiyo nimesema, tufunulie kutakuwa na mfanano gani... Kalamu said: Ni kazi rahisi tu, baada ya hapo, kueleza watu kwamba wamekubaliana kuwa pamoja, na stori ndefu ndefu sana za kulaza usingizi watu. Huko CHADEMA ninayeweza kuona shida juu yake kukubaliana na msimamo huo ni Lissu, na pengine Heche. Click to expand... Mimi sioni hilo Kalamu said: Wengine wote watapiga vigelegele kuelekea kwenye umoja wao wa CCM ya Samia, na CHADEMA ya Mbowe. Akina Kabwe wao tayari wapo huko CCM ya Samia. Click to expand... Tusubiri tuone. Lakini.......,...