Mbowe anapaswa kukemewa na kila mpenda demokrasia, anaibomoa CHADEMA

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Screenshot_20240605-133424.png

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
 
Itasikitisha sana Mbowe akiwa sababu na sehemu ya kuiteteresha Chadema.

Makundi, uchawa unakuwa kwa kasi ndani ya Chama.
 
Mbowe kayataka yote haya. Hata pilau pamoja na utamu wake wote lkn likiliwa kila siku linakinai, sembuse mwenyekiti wa chama?? Alipaswa kuliona hili mapema huyu kamanda.

Ningelikuwa Mbowe, kesho tu ningeitisha press kutangaza kutoendelea na uenyekiti ili kuinusuru chadema.
 
Kwamba Mbowe aondoke Chadema kwa maelekezo ya Mamluki? No way!
 
Ishimanga Assossa Kalala alipoingia TZ alikuja na wimbo wake huu hapa; BOMOA BOMOA BOMOAA MAMA TUTAJENGA KESHOOO: Hivyo na Mh Mbowe anabomoa leo na sisi tutajenga keshooo . Shida iko wapi????.
 
Haondoki chadema mkuu, ang'atuke tu kwenye hicho kiti. Uongo wa kuwa yeye ni sultani ndani ya chama, unaanza kuaminiwa na watanzania sasa
Wanaogopa kugombea? Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema siyo Wajinga, Haiwezekani Maelfu ya watu wote wakawa Wajinga
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
Weka picha ya kadi yako ya Chadema.
 
Wanaogopa kugombea? Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema siyo Wajinga, Haiwezekani Maelfu ya watu wote wakawa Wajinga
Chanzo cha yote haya ni Msigwa na Lisu, watu wa chumbani kabisa mwa chadema. Lisu alisema fedha chafu za rushwa zimemwagwa kwenye uchaguzi wa kanda. Wafukunyuku wakapekua kujua kwann makamu mwenyekiti analia hadharani? Na ni nani anamwaga fedha kwenye uchaguzi wa kanda?

Wajuvi wa mambo wakasema Mbowe anataka kuweka watu wa kulinda nafasi yake ya uenyekiti. Siku hazijaenda, Msigwa kaja kukazia hoja kwa kulialia mbele ya vyombo vya habari?

Sisi hohehahe utatuaminisha vipi kuwa Mbowe hana shida?

Chadema tulitegemea ijitenge na mazongizongi kama haya
 
Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.

Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.

1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.

2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.

Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".

Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.

Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.
Bila Mbowe hakuna CHADEMA, bila Mbowe hakuna upinzani wa maana! Mbowe fanya kazi uliyotumwa na Mungu hadi atakapokuchukua.
 
Makamanda hatupendi tuelezane ukweli...ila tunafahamu tulipojikwaa na tusiposhtuka imekula kwetu.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Bila Mbowe hakuna CHADEMA, bila Mbowe hakuna upinzani wa maana! Mbowe fanya kazi uliyotumwa na Mungu hadi atakapokuchukua.
Dikteta uchwara anakwenda kunyofolewa safari hii, mangi mtaumia sana.
 
Chanzo cha yote haya ni Msigwa na Lisu, watu wa chumbani kabisa mwa chadema. Lisu alisema fedha chafu za rushwa zimemwagwa kwenye uchaguzi wa kanda. Wafukunyuku wakapekua kujua kwann makamu mwenyekiti analia hadharani? Na ni nani anamwaga fedha kwenye uchaguzi wa kanda?

Wajuvi wa mambo wakasema Mbowe anataka kuweka watu wa kulinda nafasi yake ya uenyekiti. Siku hazijaenda, Msigwa kaja kukazia hoja kwa kulialia mbele ya vyombo vya habari?

Sisi hohehahe utatuaminisha vipi kuwa Mbowe hana shida?

Chadema tulitegemea ijitenge na mazongizongi kama haya
Hatari kweli kweli,
 
Back
Top Bottom