Ni kweli kafanya kazi kubwa sana kuimarisha na kuijenga chadema. Amepambana sana, apewe mauaji yake.
Hata hivyo, Mbowe ana madhaifu makubwa katika uongozi wake ambayo sasa yamekomaa na kuanza kutoa harufu mbaya mpk akina Msigwa wameshindwa kuivumilia. Madhaifu hayo nitayaeleza hapa chini.
1. Haamini katika nguvu ya kitaasisi.
Walio karibu na Mbowe wanasema Mbowe hataki kuachia uenyekiti kwasabb anaamini chadema ipo kwasabb ya uwezo wake binafsi wa kisiasa na kifedha. Haamini kuwa chadema kama taasisi inaweza kujisimamia, kujilinda na kujidumisha.
2. Mbowe ni mbabe na kigeugeu.
2021 Mbowe aliwatangazia wanachadema na watanzania kwa ujumla kuwa ifikapo 2023, ataachia uenyekiti wa chadema taifa, ili kupisha damu changa.
Pia sote tunakumbuka alivyogeuka ghafla na kumkabidhi hayati Lowasa tiketi ya chadema ya kuwania urais, mpk akajiita "Mzee wa kubadili gia angani".
Walio wengi akiwemo Sugu, Mnyika, Dr. Slaa na wengine wengi walitaka Lowasa akaribishwe chamani lkn asipewe nafasi ya kugombea urais. Mbowe alitumia ubabe.
Ili kuaiacha salama chadema ni vema akaachia ngazi. Goma lake la kila mwaka kuwa haondoki kwa kuwa anataka kujijenga na kukiimarisha chama limepigwa mara nyingi na limetuchosha maikioni.