Mbowe anapigiwa saluti kama nani? Kwani akipigiwa saluti ndio CHADEMA mnapaishwa kisiasa?

Hao polisi wenye sifa ya kula rushwa nao unaona wamefanya kitu cha maana? Nyie CCM ndio mnaona kupigiwa salute ni kitu cha maana.
Uchaguzi wa 2020 ulipigwa vibaya. Jipange 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…