DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
[emoji1787][emoji1787]Anapigiwa maana ni bahasha wako anakuftuaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Anapigiwa maana ni bahasha wako anakuftuaga.
AhaaaSalute Zina protocol sio kila lijitu linapigiwa salute. Mtu hata scouts hujawahi kupitia unaleta ubishi eti Limbowe linastahili kupigiwa salute..
Officers na viongozi walio teuliwa na rais ndio wanapigiwa salute..
Polisi na huyo mbowe, wote viazi
kwani unateseka ukiwa yanga, wanaompigia salute wanajua mbowe ni nani katika nchi hii, ni kwamba 2020 chadema walishinda uchaguzi ila walinyanganywa kwa nguvu na mwenda zakeAlafu mbona hana ukakamavu kama sisi tuliopitia Jkt?View attachment 2639702
Umesema kweli. Hawa polis (I mean policcm) walitupiga sana.Uchaguzi wa 2020 ulipigwa vibaya. Jipange 2025
Najua una ufahamu mzuri wa mambo haya. Nilikuwa operation miaka 25 ya JKT. Kwenda TPDF, tulichukuliwa tukiwa JKT. Tulioghairi kuendelea na ajira ya TPDF tulirudi kumalizia mafumzo yetu ya JKT kwenye vikosi vyetu na kuendelea na maisha ya kiraia.Samahani bro....hayo mafunzo ya awali ya kijeshi Upanga Air wings ilikua mwaka gani?