kwani unateseka ukiwa yanga, wanaompigia salute wanajua mbowe ni nani katika nchi hii, ni kwamba 2020 chadema walishinda uchaguzi ila walinyanganywa kwa nguvu na mwenda zake
Najua una ufahamu mzuri wa mambo haya. Nilikuwa operation miaka 25 ya JKT. Kwenda TPDF, tulichukuliwa tukiwa JKT. Tulioghairi kuendelea na ajira ya TPDF tulirudi kumalizia mafumzo yetu ya JKT kwenye vikosi vyetu na kuendelea na maisha ya kiraia.
Nilishiriki pia kwenye parade maakum ya miaka 25 ya JKT, lakini pia niliandaa historia iliyotumika kumuaga CDF afande Musuguri kwenye vikosi vya JKT baada ya kupewa nyaraka mbalimbali za maisha ya CDF na kuzipitia, na kisha kuweka historia yote pamoja. Baada ya kuyatekeleza majukumu hayo kwa namna iliyowapendeza, niliondolewa kwenye kazi za kawaida za wenzangu.