Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Nani aliyekudanganya kuwa kanda zinapiga kura kama Block? Maana kuna mikoa Mbowe alivuruga uchaguzi mfano Nyasa unadhani wale wajumbe wata endorse Mbowe? Au wajumbe wa BAVICHA watampa mbowe wamuache reformist Lissu?

Pia wale wajumbe wanaangalia upepo ulivyo kwa wanachama, hata kama watakuwa ni machawa wa Mbowe lakini huko wanapotoka naamini wanachama watawapa maelekezo ya maoni yao hivyo wakimchagua mtu ambaye sio popular kisa tu ni machawa basi wajue huko wilayani wakirudi watakuta ofisi zimefungwa na makufuli.

Wasikilize maoni ya huko majimboni wasitumie utashi binafsi.
 
Sipotei. Tunajua upande wa pili wanajitahidi sana kupanga uongozi wa chadema uendelee kuwa weak.
kivipi na wanawezaje kufanya hilo hao upnde wa pili?

vyama vya siasa hujipambanua kwa umadhubuti wao wa intelijensia ya ndani.

kulikoni kuanza lawama kwa wasio husika na mambo ya ndani ya chama husiaka? hiyo ni kumaanisha chama hicho ni weak kimfumo, right?

iweje chama kipangiwe safu ya uongozi na chama kingine halafu kijiite ndicho chama kikuu cha upinzani?
 
Ccm haijawahi kumpenda Lisu hata siku Moja. Kwa hiyo hatushangazwi na maoni yako. Kwanza lini umekusanya maoni ya hao wapiga kura, kama siyo kuanza kuchanganyikiwa baada ya kusikia Lisu anataka kugombea!!
 
Ila kiuhalisia ukiwauliza ccm watapenda mbowe abaki maana wanakula keki ya nchi pamoja, huyu mwingine akiingie ni vurugu tupu mdomo wake hauna brake kiufupi hana hekima ,busara wala karama ya uongozi
kwahiyo unataka kuamaanisha uchaguzi wa chadema iliyogawanyika ni baina ya mwenye hekima na Busara dhidi ya mwenye mdomo mchafu na vurugu bila break?
 
Nonsense!
 
Ukiona mwana CCM kama wewe yupo upande fulani jua kuwa huo upande una maslahi na CCM.
 
Gentleman,
unamu endorse Mbowe vipi hali ya kua ulishatolewa kwenye mfumo na sio mpiga kura?

waliopo kwenye mfumo ni wa Mbowe na ndio tayari wengi wao hasa hiyo kanda ya Naysa wanamu endorse Mbowe kua mwenyekiti wa taifa wa chade kama nilivyo eleza hapo awali.

BAWACHA wapo wa ngapi?
ni wazi kija mwenye kiburi, ujeuri na majivuno Pumbalu na yule mwingine kama water melon kanyaga twende Mwaipaya ndio pekee watu wanao muunga mkono huyo kibaraka kwasababu waliahidiwa kwenda kuishi ng'ambo, hata hivyo mwaipaya ni kama amemchoka na amekata tamaa dhidi ya ahadi hiyo.

hakuna kijana zaidi ya hao wawili pale chadema wanaoumuunga mkono Lisu. Wengine wote wanamuunga mkono Mbowe.

kwa ujumala maoni na mitazamo ya wajumbe wapiga kura wa chadema katika kanda zaidi ya7, wanamuunga mkono mbowe
 
Ukiona mwana CCM kama wewe yupo upande fulani jua kuwa huo upande una maslahi na CCM.
Gentleman,
maslahi yangu ni demokrasia itendeke kwa uhuru na haki ndani ya chadema iliyogawanyika na si vinginevyo
 
Gentleman,
maslahi yangu ni demokrasia itendeke kwa uhuru na haki ndani ya chadema iliyogawanyika na si vinginevyo
Demokrasia ipi? Kwani kwenu CCM kuna demokrasia? Kama hujui CCM hawana(ga) uchaguzi wa mwenyekiti kitaifa so CCM na wana CCM wakae mkao wa kujifunza demokrasia ndani ya Chadema
 
Ccm haijawahi kumpenda Lisu hata siku Moja. Kwa hiyo hatushangazwi na maoni yako. Kwanza lini umekusanya maoni ya hao wapiga kura, kama siyo kuanza kuchanganyikiwa baada ya kusikia Lisu anataka kugombea!!
gentleman,
hoja na mijadala mbalimbali ambayo huwa naiibua humu jukwaani ni matokeao ya tafiti nyingi mno ambazo huwa nafaya,

hata hivyo,
kwenye suala la uchaguzi wa ndani ya chadema iliyogawanyika hailihitaji utafiti waowote kwa hatua hii, japo tafiti mbalimbali zianaendelea.

kama waTanzania ni muhimu sana kupendana na kuondoa dhana za chuki na uhasama. nahimiza sana kupendana kama taifa.

katika siasa za uchaguzi, hisabati ya siasa hupewa kipaumbele zaidi.

gentleman,
chadema ina kanda 10 za kiutawala, tayaria kanda 6 zinampendekeza mbowe awe mwenyekiti wa chadema taifa,
bado nafuatilia kwa ukaribu sana ni kanda zipi zitasema na kupendelea kumuunga mkono Lisu kua mwenyekiti wa chadema taifa.

kura ni watu kura ni numbers, je, unazo ngapi?
 
Wee monkey πŸ’ bado hujasema hapo ni mwanzo tu alika na ndugu zako 🦍!
 
Kwa wakati huu siasa za mbowe hazikubaliki kwa wanachama wengi, kila zuri lina wakati wake, wanachama wengi wa upinzani kwa sasa wanataka mtu wa kuwakimbiza ili wakimbie. Mbowe kama anaipenda chadema kwa dhati basi ampishe anaethubutu. Mbowe akae kwa ushauri kama wazee wengine waliotangulia.
 
Demokrasia ipi? Kwani kwenu CCM kuna demokrasia? Kama hujui CCM hawana(ga) uchaguzi wa mwenyekiti kitaifa so CCM na wana CCM wakae mkao wa kujifunza demokrasia ndani ya Chadema
gentleaman,
nayasema haya kama mbobevu na mtaalamu huru, wa masuala ya siasa za vyama asie egemea upande wowote wa mirengo.

demokrasia iheshimiwe
 
hakuna kijana zaidi ya hao wawili pale chadema wanaoumuunga mkono Lisu. Wengine wote wanamuunga mkono Mbowe
Unajidanganya kama unadhani vijana wanavutiwa na Mbowe kuliko Lissu?? Hivi hata layman tu ukiamuambia Lissu na mbowe nani amevaa uhusika wa upinzani genuine nadhani majibu utapata. Hata CCM wanajua Lissu ni mpinzani kuliko Mbowe ambaye ni moderate anafaa siasa za Africa kusini huko sio za Tanzania.
 
Gentleaman,
ni muhimu sana kuwapa fursa na nafasi wajumbe wapiga kura wa chadema iliyogawanyika kuamua uongozi wa kitaifa wa chama na mustakabali wa baabdae wa chadema.

hakuna haja kuja na masharti.
na hapo tutajua kwa uwazi siasa za nani zinakubalika kuliko za mwingine
 
Hiyo ndo siasa ya Tanzania yetu,, same applies to CCM vs CHADEMA.... hakuna jipya ... Mbowe ana watu wake anaowatumia kuendelea kukaa madarakani,,, CCM nao wana nyenzo zao kuendelea kukaa madarakani...

Anayetegemea Lissu kupata ushindi kuiongoza NGO ya familia hajielewi...
 
hao vijana wawili niliowataja, waliahidiwa kutaftiwa vishughuli huko kwa mabwenyenye ya magharibi, yanayofadhili huyo muungwana mgombea uenyekiti taifa.

kama nilivyosema awali,
hakuna kijana mwingine yoyote chadema anaemuunga mkono Lisu zaidi ya hao. wengine wote role mode wao ni mbowe. na hili liko wazi kabisa gentleaman,

zaidi ya hapo unaelezea story za pata potea na porojo,
 
Umeacha yenu Sasa unaongelea ya jirani. Utapotea mzee wa kinyani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…