zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nani aliyekudanganya kuwa kanda zinapiga kura kama Block? Maana kuna mikoa Mbowe alivuruga uchaguzi mfano Nyasa unadhani wale wajumbe wata endorse Mbowe? Au wajumbe wa BAVICHA watampa mbowe wamuache reformist Lissu?Gentleman,
elewa somo basi sio kukurupuka na mihemko tu.
elections is all about numbers. where are numbers for Lisu miongoni mwa kanda 10 za kiutawala chadema?
atapata sapoti ya kura kutoka kwa wajumbe wa kanda ipi kwa mfano?
wasifu na kutia huruma ati alipigwa risasi vitasaidia nini na hana numbers za wajumbe kushinda uchaguzi?
Mbowe mpaka sasa ana kanda4, kibindoni uchaguzi ufanyike leo au mwakani anayo full support, mathalan kanda ya Pwani, Kaskazini, Victoria na Nyasa.
Na ili ushinde uchaguzi wa ndani wa chadema Taifa ni muhimu kua na sapoti ya kanda zisizo pungua 7, Je Lisu ana uhakika wa kanda hata moja gentleman, hata uje na wasifu?
mambo ya wasifu si ni kwenye mazishi?🐒
Pia wale wajumbe wanaangalia upepo ulivyo kwa wanachama, hata kama watakuwa ni machawa wa Mbowe lakini huko wanapotoka naamini wanachama watawapa maelekezo ya maoni yao hivyo wakimchagua mtu ambaye sio popular kisa tu ni machawa basi wajue huko wilayani wakirudi watakuta ofisi zimefungwa na makufuli.
Wasikilize maoni ya huko majimboni wasitumie utashi binafsi.


