Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Ni sawa na sababu kubwa ni kwamba mbowe ana uwezo kifedha wakati kiasi hana.lkn kuna haja gani kuendelea kukivuruga chama kisa mbowe abaki kwenye uenyekiti?kwa nini asiwaachie chama vijana yeye akawashauri.kwa mtaji hatutegemei cdm kuja kuwa chama mbadala hata siku.watanzania wa sasa si jana wanaelewa sana kilicho chini ya kapeti.rudisheni imani ya chama kwa wananchi.achaneni kuchaguana kisa fulani ana uwezo.kama ndivyo chama kitapoteza mwelekeo.
 
Gentleman,
wajumbe wa mkutano mkuu Taifa wa chadema, ndio pekee wenye fursa na nafasi ya kuamua ni ama MBOWE au LISU kua mwenyekiti wa chadema iliyogawanyika Taifa
 
Bahati mbaya sana kwa na makundi au mitandao sio sehemu ya mfumo wake wa maisha! Wajumbe wapime waamue na mambo yataendelea! Hayo mambo ya mitandao ya kikanda na kuhonga wajumbe yapo ccm, simba hana na hayataki!
ndiyo hivyo hivyo na wajumbe wa mkutano mkuu taifa nao hawamtaki
 
Labda kama wajumbe wa chadema hamnazo kama wa ccm, una mpigiaje kura mtu kakaa madarakani over 20yrs? Kipi hajafanya in 20 yrs atakacho kifanya in 5yrs? Kumbe ujinga wa wajumbe sio ccm tu bali hadi vyama vingine, Lissu kushinda hii kitu hahitaji hata campaign, it long overdue kwa Mbowe, hiyo tu ni disqualification peke yake, Mtawaambia nini vyama vingine kuwa democracy ilihali Mbowe yuko madarakani mile na mile ? Aii kwani yeye ni nani? Msifanye Tz au chadema ya mtu mmoja tu.
 
eti huhitaji kampeni

inahitaji huruma tu right?

miaka 20 si alikua anachaguliwa kwa kura ama?
 
Haya mtafiti. Ila mnamuogopa sana Lissu kwasababu mnajua muziki wake.
sure anaogopwa na kila mtu,

coz hakuna anachoweza gentleman, ni huruma sana aise,

nadhani hicho ndicho wengi wa wajumbe wanafikiria kwamba akapumzike tu kwasababu ataweza nini sasa?
 
Sasa mboga mboga unasemea ya chadema how..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…