Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
unaongea kinyumeUsichokijua ni Kwamba
Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)
Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
Ni hivi, kwa sasa wakati ndio utaamua hatima ya cdm, hao wapiga kura wengi watakapoamua kinyume na mahitaji ya nyakati watakiona cdm ikiwa kama CUF. Wakati ni ukuta, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umepita.Usichokijua ni Kwamba
Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)
Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
Sahihi kabisa. Na ndio maana Team Lissu na Lissu mwenyewe wanahaha kila leo mitandaoni wakati Mbowe anatumia msemo wa "Hala, hala mimi ni mvuvi mjanja, najua pweza walipo"!Usichokijua ni Kwamba
Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)
Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
team kunja ngumi wanakibarua kigumu ,ogopa sana style hiyo ya ukabaji....Kawaida Lissu huwa anakabia juu. Mtatema bungo tu sio muda.
Ndiyo maana yakeUzi tayari
Bado hujasema, na utasema. Hatuhutaji Mwenyekiti mropokaji asiye juwa kutunza siri za chama..huo sasa ndio UJINGA.
..kumuunga mkono mtu asiyeuzika kwa wananchi.
..Ni sawa na uwe na kiwanda halafu unalazimisha kutengeneza bidhaa isiyo na soko.
Kinachotakiwa ni uchaguzi huru na wa haki, kama mtafanya hivyo basi CCM watajifunza kutoka kwenu na jamiiUsichokijua ni Kwamba
Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)
Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
Lissu havuki 30%, amini usiamini. Tutarudi hapa baada ya uchaguziHata bwana Nkuba alikuwa na uhakika wa ushindi baada ya karatasi kuisha na kuletwa zingine na zoezi la upigaji kura kuendelea. Mwabukusi aliibuka kidedea na ndio candidate aliyekuwa Kila hatua alikuwa hana Imani nayo zaidi ya kuisha karatasi za kupigia kura
Team Lissu inakabia juu kwa Kila jambo na hatua za uchaguzi , elewa ya kwamba LISSU anakwenda kushinda kwa kura nyingi kuliko mshindani wake wa karibu
Si tusubiri kura ziseme? Wewe nani una dictate kuwa muda wa Mbowe umepita?Ni hivi, kwa sasa wakati ndio utaamua hatima ya cdm, hao wapiga kura wengi watakapoamua kinyume na mahitaji ya nyakati watakiona cdm ikiwa kama CUF. Wakati ni ukuta, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umepita.
Mbowe anashinda asubuhi na mapemaHamsomi tu trend.?
Chaguzi zote Mbowe hakuwahi kupitia hali kama hii kwa sasa hadi anapata back up toka kwa CCM.
Hamsomi trend jinsi ushawishi wake ulivyodorora?
Mnataka Chama kiwe kama CUF , basi 2025 Mbowe akishinda mtajionea.
Ni kweli Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!Usichokijua ni Kwamba
Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)
Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
Huu wako ni uongoUsichokijua ni Kwamba