Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

Hata bwana Nkuba alikuwa na uhakika wa ushindi baada ya karatasi kuisha na kuletwa zingine na zoezi la upigaji kura kuendelea. Mwabukusi aliibuka kidedea na ndio candidate aliyekuwa Kila hatua alikuwa hana Imani nayo zaidi ya kuisha karatasi za kupigia kura

Team Lissu inakabia juu kwa Kila jambo na hatua za uchaguzi , elewa ya kwamba LISSU anakwenda kushinda kwa kura nyingi kuliko mshindani wake wa karibu
 
Usichokijua ni Kwamba

Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)

Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
unaongea kinyume
 
Ni hivi, kwa sasa wakati ndio utaamua hatima ya cdm, hao wapiga kura wengi watakapoamua kinyume na mahitaji ya nyakati watakiona cdm ikiwa kama CUF. Wakati ni ukuta, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umepita.
 
Sahihi kabisa. Na ndio maana Team Lissu na Lissu mwenyewe wanahaha kila leo mitandaoni wakati Mbowe anatumia msemo wa "Hala, hala mimi ni mvuvi mjanja, najua pweza walipo"!
 
Hamsomi tu trend.?

Chaguzi zote Mbowe hakuwahi kupitia hali kama hii kwa sasa hadi anapata back up toka kwa CCM.

Hamsomi trend jinsi ushawishi wake ulivyodorora?

Mnataka Chama kiwe kama CUF , basi 2025 Mbowe akishinda mtajionea.
 
..huo sasa ndio UJINGA.

..kumuunga mkono mtu asiyeuzika kwa wananchi.

..Ni sawa na uwe na kiwanda halafu unalazimisha kutengeneza bidhaa isiyo na soko.
Bado hujasema, na utasema. Hatuhutaji Mwenyekiti mropokaji asiye juwa kutunza siri za chama
 
Usichokijua ni Kwamba

Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)

Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
Kinachotakiwa ni uchaguzi huru na wa haki, kama mtafanya hivyo basi CCM watajifunza kutoka kwenu na jamii
 
Hata bwana Nkuba alikuwa na uhakika wa ushindi baada ya karatasi kuisha na kuletwa zingine na zoezi la upigaji kura kuendelea. Mwabukusi aliibuka kidedea na ndio candidate aliyekuwa Kila hatua alikuwa hana Imani nayo zaidi ya kuisha karatasi za kupigia kura

Team Lissu inakabia juu kwa Kila jambo na hatua za uchaguzi , elewa ya kwamba LISSU anakwenda kushinda kwa kura nyingi kuliko mshindani wake wa karibu
Lissu havuki 30%, amini usiamini. Tutarudi hapa baada ya uchaguzi
 
Ni hivi, kwa sasa wakati ndio utaamua hatima ya cdm, hao wapiga kura wengi watakapoamua kinyume na mahitaji ya nyakati watakiona cdm ikiwa kama CUF. Wakati ni ukuta, muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm umepita.
Si tusubiri kura ziseme? Wewe nani una dictate kuwa muda wa Mbowe umepita?
 
Hamsomi tu trend.?

Chaguzi zote Mbowe hakuwahi kupitia hali kama hii kwa sasa hadi anapata back up toka kwa CCM.

Hamsomi trend jinsi ushawishi wake ulivyodorora?

Mnataka Chama kiwe kama CUF , basi 2025 Mbowe akishinda mtajionea.
Mbowe anashinda asubuhi na mapema
 
Usichokijua ni Kwamba

Team Mbowe ina watu wazito wachache (Wapiga kura)
Team Lisu ina watu wengi (Wasiopiga kura)

Team Mbowe inauhakika wa Ushindi kwenye box la kupiga kura ndio maana hawana kelele
Team TAL haina watu kwenye kura ndio maana wanalazimisha Mbowe ajitoe
Huu wako ni uongo
 
Wanaomuunga Lissu mkono wengi ni Wapigakura wa Uchaguzi Mkuu. wanaomuunga mkono Mbowe ni Wajumbe.

Sasa hapa kuna mawili Chama kibaki kwa Mbowe lakini Wananchi wakipotezee au kiende kwa Lissu kijizolee kura na kumtoa Malikia Ikulu.
 
Back
Top Bottom