Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Sikiliza haya mahojiano. Dakika za kwanza tu anaelezea kura zilivyopigwa
Mkuu ni kweli ninaamini. Mpaka Hapa ndiyo maana maishani mwangu Siasa na Mimi ni paka na mbwa. Nawapa pole sana Chadema. Ningekuwa mwanachama wa Chadema usiku huu ningeichoma kadi ya uanachama.
 
Mkuu mbona unalilia kama mtoto ,kwani hujui hiyo ndio demokrasia ya SACCOSS yenu,malaika Mbowe hakosei,kwanza Lissu hana hela ya kufanya kampeni hata jimboni kwake,si umeona jeuri ya Nyalandu na fweza zake,baba baba mkono mtupu haulambwi ukiwa SACCOSS,tajiri hana urafiki na lofa.Nadhani sasa mtaanza kuwajua watu wasiojulikana.mwanzoni mliamini ni wa upande wa pili kumbe ni nyie wenyewe ''kikulacho ki nguoni mwako''
 
Mnapata mpasuko hivi karibuni.
Kuna CHADEMA ya jikoni na ya sebuleni.
Poleni ninyi wasubiri ubwabwa mliopo sebuleni.
 
Mkuu unawaza kwa kutumia akili au unachokikalia??
 
Thank you πŸ™πŸ½ Sir I don’t have to add anything more on this thread πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘πŸ½

 
[emoji1679][emoji1534][emoji1548]

Jr[emoji769]
 
Mkuu ni kweli ninaamini. Mpaka Hapa ndiyo maana maishani mwangu Siasa na Mimi ni paka na mbwa. Nawapa pole sana Chadema. Ningekuwa mwanachama wa Chadema usiku huu ningeichoma kadi ya uanachama.
Ukiambiwa wewe ni mjinga utakasirika?
 
Hakuna cha intelligencia hapo. Hujui ndiyo chaguo lenyewe.
 
Lisu ni mwanaharakati mzuri sana lakini anakosa vitu Fulani vya kumfanya awe amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa nchi.
Ngoja ajiweke vizuri zaidi ili 2025 achukue nchi mana atakua amejiweka vizuri kiutawala na uongozi wa nafasi ya juu kabisa wa nchi.
Anatakiwa kuondokana na siasa za kiharakati arudi kwenye siasa za Sera mbadala.

Nyarandu ana sifa ya kuwa Rais wa nchi.
Hatutaki mtu atakatepanda majukwaani na kuanza kutukana watu au kukejeli watu au kuzusha mambo asiyokuwa na uhakika nayo. Ataharibu uchaguzi na inawezekana Chama kikawekewa mapingamizi mengi au hata kuzuia kuendelea na kampeni na kuonywa Mara kwa Mara.

Kwa maono makubwa pia Lazaro ni zaidi. Lisu ni kiboko kwenye kusimamia sheria. Lakini Rais pia anapaswa kuwa na maono ya mbali zaidi na moyo wa kuipenda jamii bila kujali vyama . Lisu bado kidogo! Akikosa atulie kwanza na ikiwezekana ajitoe na kumuunga mkono Lazaro ili 2025 amalize mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…