Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Utajua mwenyewe mambo ya chadema hayakuhusu.
Kwa nini isimihusu kwani chadema ni mali ya Babako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utajua mwenyewe mambo ya chadema hayakuhusu.
Ombolezeni sisi wetu tuliomboleza kule zanzibar 2001. Hii ni zamu yenu sasaHana lolote sisi tunaomboleza msiba!
Umekuja kuokoa jahazi?? 😁😁Kwa nini isimihusu kwani chadema ni ya Babako?
Hivi taarifa ya hayo matokeo ya upigaji kura imethibitishwa na nani?
Sikiliza haya mahojiano. Dakika za kwanza tu anaelezea kura zilivyopigwa
Mkuu mbona unalilia kama mtoto ,kwani hujui hiyo ndio demokrasia ya SACCOSS yenu,malaika Mbowe hakosei,kwanza Lissu hana hela ya kufanya kampeni hata jimboni kwake,si umeona jeuri ya Nyalandu na fweza zake,baba baba mkono mtupu haulambwi ukiwa SACCOSS,tajiri hana urafiki na lofa.Nadhani sasa mtaanza kuwajua watu wasiojulikana.mwanzoni mliamini ni wa upande wa pili kumbe ni nyie wenyewe ''kikulacho ki nguoni mwako''Ndugu wana bodi.
Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais.
Ukweli ni kwamba kati ya watu 8 waliorudisha fomu ni watu wawili tu wenye ushindani.
1. Mh Tundu Lissu
2. Mh Lazaro Nyalandu.
Hawa wote ni wenyeji wa mkoa wa Singida na wote ni wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa.
Binafsi nilishitushwa sana kiasi cha kubadilisha mapigo ya moyo wangu baada ya kuona matokeo ya kura za maoni za kamati kuu ya CHADEMA.
Kilichonishitua ni kuona ``think tank`` ya CHADEMA inaamini Mhe Lazaro Nyalandu ni bora kuliko Mhe Tundu Lissu aliyekinga chama kwa damu yake na risasi 16 ambazo mpaka sasa hatujajua Kama kweli zilikuwa zinampiga au malaika walitega migongo yao ndio ikapigwa lisasi kwa niaba yake? Kwasababu mpaka sasa watanzania na wanachadema bado wanajiuliza huyu jamaa aliponaje!!
Bila kutia chumvi yafuatayo ni matokeo ya tatu bora za maoni ya kamati kuu ya CHADEMA
KURA ZA WAGOMBEA URAIS JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAMA ZILIVYOPIGWA NA KAMATI KUU YA CHADEMA, DAR ES SALAAM, JULY 22, 2020
*IDADI YA KURA ZILIZOPIGWA - 29*
*KURA ILIYOHARIBIKA - 1*
*IDADI YA KURA HALALI -28*
*Lazaro S. Nyalandu - 28* ( 100%)
*Tundu Antipasi Lissu - 24* (86%)
*Dr. Mayrose K. Majinge - 23* ( 82%)
Haya ndiyo majina yatakayo kwenda Baraza Kuu la CHADEMA.
Baada ya matokeo haya nikaanza upelelezi kujua nini kimejiri Kaka Tundu Lissu azidiwe kura na mh Lazaro Nyalandu.
Uchunguzi wangu umebaini kuwa Mhe Aikael Mbowe na Nduguye Mhe Godbless Lema ndiyo walikua nyuma kuhakikisha kuwa Lazaro Nyalandu anamzidi kura za maoni Mhe Tundu Lissu katika maoni ya Kamati kuu.
Kwa ufupi naambatanisha chat za Whatsapp kati ya Mhe Lema na Mhe Mbowe baada ya matokeo ya kura hizo.
Na nina ushahidi thabiti watu wanne waliomnyima kura Lissu ni wafuatao.
1. Freeman Mbowe.
2. Godbless Lema.
3. Halima Mdee.
4. Esther Bulaya.
Pia nichukue wasaa huu kuwajulisha Mhe Esther Matiko na kaka Patrick Ole Sosopi kuwa makini katika siasa zao ndani ya chadema Mwamba hawatazami kwa jicho rafiki.
Wajumbe wa baraza kuu na mkutano mkuu wa chadema taifa wanaopinga mpango wa Mwamba kumuunga mkono Lazaro Nyarandu na ambao wanamuunga mkono mh Tundu lissu,mjiandae pia kisaikolojia yajayo yanafurahisha.
Sasa nimeanza kuamini kwanini wanachama wa chadema na viongozi wengi walikuwa wanatimkia vyama vya Nccr mageuzi na ccm wakisema Kuna tatizo naona sasa linaanza kuwa dhahiri machoni kwa watanzania na wanachama wa chadema.
Ni wenu.
Kama kweli ni hivyo,basi Kamati Kuu imefanya jambo jema maana huenda wangeonekana kumpendelea Lissu,hivyo wacha Baraza kuu likapige kura kuamua na hata Nyalandu ataridhika na matokeo.Nyalandu mwenyewe akihojiwa na Jenerali ulimwengu
Mkuu unawaza kwa kutumia akili au unachokikalia??Mkuu mbona unalilia kama mtoto ,kwani hujui hiyo ndio demokrasia ya SACCOSS yenu,malaika Mbowe hakosei,kwanza Lissu hana hela ya kufanya kampeni hata jimboni kwake,si umeona jeuri ya Nyalandu na fweza zake,baba baba mkono mtupu haulambwi ukiwa SACCOSS,tajiri hana urafiki na lofa.Nadhani sasa mtaanza kuwajua watu wasiojulikana.mwanzoni mliamini ni wa upande wa pili kumbe ni nyie wenyewe ''kikulacho ki nguoni mwako''
Misile nilikiwa nakuheshimu sana lakini leo umeonesha uwezo mdogo wa kung'amua Mambo. Kilichofanywa na Chadema ni camouflage. Yaani Diversion. Ktk masala ya inteligensia ni aina fulani ya kumpoteza mwelekeo adui adhani A ni B kumbe A ni A tu .
Nadhani umenielewa.
Awe Lissu awe membe wote ni manyaganyanzaMimi personally kama Lissu hapeperushi bendera basi nampigia Membe!
[emoji1679][emoji1534][emoji1548]Misile nilikiwa nakuheshimu sana lakini leo umeonesha uwezo mdogo wa kung'amua Mambo. Kilichofanywa na Chadema ni camouflage. Yaani Diversion. Ktk maswala ya inteligensia ni aina fulani ya kumpoteza mwelekeo adui adhani A ni B kumbe A ni A tu .
Nadhani umenielewa.
Nawaza kwa kutumia kile ninachokupumulia kisogoniMkuu unawaza kwa kutumia akili au unachokikalia??
Nawaza kwa kutumia kile ninachokupumulia kisogoni
Ukiambiwa wewe ni mjinga utakasirika?Mkuu ni kweli ninaamini. Mpaka Hapa ndiyo maana maishani mwangu Siasa na Mimi ni paka na mbwa. Nawapa pole sana Chadema. Ningekuwa mwanachama wa Chadema usiku huu ningeichoma kadi ya uanachama.
Kura uwazi na ukweli ndiyo hizoHivi unajua moja Kati ya haya ni kosa la jinai?
1. Uzushi
2. Udukuzi
Your are welcomeThank you 🙏🏽 Sir I don’t have to add anything more on this thread 👊🏽👍🏽
Hakuna cha intelligencia hapo. Hujui ndiyo chaguo lenyewe.Misile nilikiwa nakuheshimu sana lakini leo umeonesha uwezo mdogo wa kung'amua Mambo. Kilichofanywa na Chadema ni camouflage. Yaani Diversion. Ktk maswala ya inteligensia ni aina fulani ya kumpoteza mwelekeo adui adhani A ni B kumbe A ni A tu .
Nadhani umenielewa.