SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Nguruwe wa Lumumbanahangaika sana ili mjue kinachoendelea ndani ya Chadema lakini hamtajua kamwe.Ngoja waje wenye Sacco's na mapovu yao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguruwe wa Lumumbanahangaika sana ili mjue kinachoendelea ndani ya Chadema lakini hamtajua kamwe.Ngoja waje wenye Sacco's na mapovu yao!
Ni bora ungeandika habari za Membe wenu Lissu tuachie sisi wanachama wa CHADEMAMchakato ndani ya kamati kuu ndani ya Chadema umekamilika ambapo kamati kuu ya Chama hicho imechagua watu watatu kwenda kwenye baraza kuu la Chama.
Katika kura zilizopigwa ndani ya kamati kuu, Ndugu Nyalandu amepata kura nyingi zaidi kuliko Lissu.
Hata hivyo tafsiri ya kura hizi ni kuwa Kamati kuu ya Chadema ambayo ndiyo uongozi wa Chadema hauamini kuwa Lissu ni mgombea bora kuliko Nyalandu.
Yaani kamati kuu ya Chadema kiufupi haiamini kuwa Ndugu Tundu Lissu anaweza kuwa rais mzuri kuliko ndugu Lazaro Nyalandu.
Hii maana yake ni kwamba Uongozi wa Chadema, umetuma Meseji kwa Wanachadema na Watanzania kuwa, Uongozi huo ungependa ndugu Nyalandu ndiye awe mpeperusha bendera ya chama hicho dhidi ya Rais Magufuli.
Sasa ni jukumu letu sisi wananchi kuanza kujiuliza, kuwa Uongozi wa Chadema umeona kasoro gani kwa Tundu Lissu hadi usiamini kuwa yeye ndiye anayefaa zaidi kuwa mgombea kuliko mwanachama yeyote wa CHADEMA katika waliotia nia?
Huenda uongozi wa Chadema una kitu ulichokiona kwa ndugu Lissu kiasi kwamba kupitia kura zao unatuma meseji kwetu kuwa Lissu si bora kuliko Nyalandu. Je ni kitu gani hicho?
Mimi nafikiri kuwa yule aliyeko jikoni ndiye anayejua joto lililoko huko, Sasa kama Uongozi wa juu wa Chadema haumuoni Lissu kama namba moja, je ni sahihi sisi kuanza kumuona kuwa ni mtu sahihi?
Nadhani maamuzi haya ya kamati kuu ni mawazo ya kutufikirisha sana sisi wapiga kura. Hii ni. meseji ya dhahiri kwetu kutoka kwa uongozi wa CHADEMA kuwa, kwenye uchaguzi huu ujao, miongoni mwa wagombea, uongozi huo unaamini kuwa kuna mtu ndani ya Chadema na nchi hii mwenye sifa zaidi kuliko Lissu anayepaswa kuwa raisi La sivyo kwa nini haukumpa kura nyingi zaidi Lissu kushinda wengine?
Tutafakari!
Huyu ana lake jambo la kutaka wanachama wa CHADEMA wagawanyike waanze kumuunga mkono maembe wao
Na hilo ndiyo lengo lake kuu hata kama hajui kura zilizopigwa huko chamaniUmejuaje mkuu 'ikipendaroho'?
Wewe utakuwa una akili kali sana ya kutambua vitu.
Hilo ndilo lengo la mleta mada hii hapa.
Aliyeonyesha uwezo mdogo ni wewe, kama huoni yote hayo yanayotendeka ili Lissu asipeperushe Bendera ya chadema, na wakishamkata wanajitahidi tatizo la lissi lisikigawe chamaMisile nilikiwa nakuheshimu sana lakini leo umeonesha uwezo mdogo wa kung'amua Mambo. Kilichofanywa na Chadema ni camouflage. Yaani Diversion. Ktk maswala ya inteligensia ni aina fulani ya kumpoteza mwelekeo adui adhani A ni B kumbe A ni A tu .
Nadhani umenielewa.
Kijana unajua watu, MEMBE hafai ni muongo wa kuzaliwa, na uongo kwake huja naturallyBora Magufuli tu kuliko Membe
Excellent Question,Hivi taarifa ya hayo matokeo ya upigaji kura imethibitishwa na nani?
Kama sasa tuna amiri Jeshi !! Lissu ashindwe kuwa amiri Jeshi ?!. Haya ni maneno ya kejeli.Lisu ni mwanaharakati mzuri sana lakini anakosa vitu Fulani vya kumfanya awe amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa nchi.
Ngoja ajiweke vizuri zaidi ili 2025 achukue nchi mana atakua amejiweka vizuri kiutawala na uongozi wa nafasi ya juu kabisa wa nchi.
Anatakiwa kuondokana na siasa za kiharakati arudi kwenye siasa za Sera mbadala.
Nyarandu ana sifa ya kuwa Rais wa nchi.
Hatutaki mtu atakatepanda majukwaani na kuanza kutukana watu au kukejeli watu au kuzusha mambo asiyokuwa na uhakika nayo. Ataharibu uchaguzi na inawezekana Chama kikawekewa mapingamizi mengi au hata kuzuia kuendelea na kampeni na kuonywa Mara kwa Mara.
Kwa maono makubwa pia Lazaro ni zaidi. Lisu ni kiboko kwenye kusimamia sheria. Lakini Rais pia anapaswa kuwa na maono ya mbali zaidi na moyo wa kuipenda jamii bila kujali vyama . Lisu bado kidogo! Akikosa atulie kwanza na ikiwezekana ajitoe na kumuunga mkono Lazaro ili 2025 amalize mchezo.
Boss usiseme yote, waache wasigundue lolote mpaka muda ufikeMisile nilikiwa nakuheshimu sana lakini leo umeonesha uwezo mdogo wa kung'amua Mambo. Kilichofanywa na Chadema ni camouflage. Yaani Diversion. Ktk maswala ya inteligensia ni aina fulani ya kumpoteza mwelekeo adui adhani A ni B kumbe A ni A tu .
Nadhani umenielewa.
Kila kitu kinapotokea ni mpango wa Mungu hivyo Lowasa alipokuja Chadema ulikuwa mpango wa Mungu ndiyo maana tulipata wabunge wengi sana,Na baada ya yeye kushindwa zile njama zake aliamua kurudi kwao yeye pamoja na rafiki yake Sumaye hivyo ilikuwa mpango wa Mungu kukinusuru chama toka mikono michafu ya ccm.Hii habari ya kusema mpango wa Mungu sio nzuri.......,mnamfanyaga kuwa Mungu ni mwongo....hata Lowasa mlidai mpango wa Mungu......kiko wapi....yuko wapi? Mungu gani labda?
Hizo hesabu ni za fantasy. Ni hesabu za kizazi kijacho cha mwaka 2100. Kwa Leo hatutazielewa.kura halali 28..
nyalandu 28
lissu 24
mwingne 23
hio hesabu iko sawa kweli? au mim ndio sielewi
wewe ndiye mshenzi unayedhani kuhama chama ndiyo suruhisho!!!!!Yaani wamemnyima Lissu kugombea?
Hahaha CDM hameni chama tu muacheni mbowe na genge lake, hiki chama kina mambo ya kijinga sana, who the f***k is Nyalandu? hakuna hata mtu anamjua mnataka aende kushindana na Jiwe na Membe? hampo serious. Nilijua CDM ina washenzi sikujua ni level hii.
Mi nikajua ni style mpya ya upigaji kura wa chadema kuwa labda kila mgombea anapigiwa ndiyo na hapana. Hivi chamani bado kuna viroba ?Hizo percentage umeziweka vibaya, siku nyingine hakikisha ukiweka percentage jumla yake isizidi 100%.
Inshort umeandika uongo mtupu.
wewe ni zuzu kabisa unalazimisha uongo kuwa kweli!!!!Lazima hii habari ni ya kweli ,na wewe ni kiongozi mwandamizi ndani ya chadema na unakerwa sana na hii mienendo