Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Kama kweli ni hivyo,basi Kamati Kuu imefanya jambo jema maana huenda wangeonekana kumpendelea Lissu,hivyo wacha Baraza kuu likapige kura kuamua na hata Nyalandu ataridhika na matokeo.
na kamati kuu ikimpitisha Nyalandu, na wewe uridhike.
 
Ungekuwa una nia mzuri ungefanya hivyo kwa kutoa ushauri ndani ya uongozi badala ya kutoa siri za chama nje ya wahusika.

Inakuwaje unamwaga siri za jeshi lako kwa adui yako alafu useme unaenda kumshinda adui wako wakati tayari ushampatia mbinu zako za jinsi utakavyo mshinda?
Yaani wewe huoni tunafanya kila liwezekanalo CHADEMA wasimfanyie figisu Lissu na kutuletea huyo Nyalandu ambaye hauziki?
 
Tushamgundua tayari sasa sisi kama wapenda mageuzi ya kweli ya kisiasa tuungane kwa pamoja tuanze kuishambulia ACT na wagombea wao tuone hizo fitina zao zitawasaidia kitu gani.

ACT haina uwezo wa kuweza kutunyamazisha sisi wapinzani wa kweli hapa jamvini na nje ya mitandao ya kijamii.
Huyu jamaa ni ACT na anataka Membe asimame na si Lissu kwenye uraisi.
 
Lisu ni mwanaharakati mzuri sana lakini anakosa vitu Fulani vya kumfanya awe amiri Jeshi Mkuu na mkuu wa nchi.
Ngoja ajiweke vizuri zaidi ili 2025 achukue nchi mana atakua amejiweka vizuri kiutawala na uongozi wa nafasi ya juu kabisa wa nchi.
Anatakiwa kuondokana na siasa za kiharakati arudi kwenye siasa za Sera mbadala.

Nyarandu ana sifa ya kuwa Rais wa nchi.
Hatutaki mtu atakatepanda majukwaani na kuanza kutukana watu au kukejeli watu au kuzusha mambo asiyokuwa na uhakika nayo. Ataharibu uchaguzi na inawezekana Chama kikawekewa mapingamizi mengi au hata kuzuia kuendelea na kampeni na kuonywa Mara kwa Mara.

Kwa maono makubwa pia Lazaro ni zaidi. Lisu ni kiboko kwenye kusimamia sheria. Lakini Rais pia anapaswa kuwa na maono ya mbali zaidi na moyo wa kuipenda jamii bila kujali vyama . Lisu bado kidogo! Akikosa atulie kwanza na ikiwezekana ajitoe na kumuunga mkono Lazaro ili 2025 amalize mchezo.
Na huyu aliyepo vipi, mbona akisimama jukwaani ni either kukejeli watu, kutukana watu, kudharau watu, kufokea watu.

Lissu huwa anatoa elimu ya uraia ambayo kwenu msio na shule mnaita matusi.
 
Tunaanza sasa kuishambulia hiyo ACT yako ambayo tumegundua kuwa siyo chama cha upinzani wa kweli kuindoa ccm bali ni tawi la ccm.

Mnajifanya wapinzani kumbe ni mamluki kutoka ccm.

Sisi wapinzani wa kweli tutawapinga sana kwa unafiki wenu kuwahujumu watanzania wanao jidanganya kuwa ACT ni wapinzani.
Yaani wewe huoni tunafanya kila liwezekanalo CHADEMA wasimfanyie figisu Lissu na kutuletea huyo Nyalandu ambaye hauziki?
 
Zitto Kabwe hajawahi kuwa mpinzani wa kweli hapa Tanzania. Jiulize nilini aliwahi kupata misuko suko wanayo pata wapinzani wa kweli hapa Tanzania hasa cdm?

Ukifuatilia matamshi yake ya majukwaani ya kuikosoa serikali ya ccm ambayo ni ya hovyo hovyo tu hajawahi kufunguliwa kesi yoyote ile seriously kama wanavyo fanyiwa wapinzani wa kweli hapa Tanzania hasa cdm.

Zitto ni mnafiki mkubwa sana kwa siasa za upinzani haoa Tanzania.
Ndiyo maana mimi suala la kushirikiana na ACT siliafiki kabisa hawana nia njema na Chadema.
 
Wewe ni mnafiki tena mnafiki mkubwa sana, kama unajiona huna nia ya kuwa kwenye kambi ya upinzani basi bakia huko huko ACT yako pandikizi la ccm.
Yaani wewe huoni tunafanya kila liwezekanalo CHADEMA wasimfanyie figisu Lissu na kutuletea huyo Nyalandu ambaye hauziki?
 
Tunaanza sasa kuishambulia hiyo ACT yako ambayo tumegundua kuwa siyo chama cha upinzani wa kweli kuindoa ccm bali ni tawi la ccm.

Mnajifanya wapinzani kumbe ni mamluki kutoka ccm.

Sisi wapinzani wa kweli tutawapinga sana kwa unafiki wenu kuwahujumu watanzania wanao jidanganya kuwa ACT ni wapinzani.

Tatizo unaleta vitu personal katika mada.
Mada imehoji suali la msingi.

Mada inahoji maamuzi ya kamati kuu ya Chadema juu ya kumpa kura nyingi Nyalandu kuliko Lissu.

Wewe unaleta mambo ya vyama vingine.

Mimi siyo ACT, mimi namkubali Bernad Membe au Lissu, haijalishi kama hao watu wangegombea kupitia CCM, ACT au CHAUMA mimi niko nao!

Inaniuma kuona Uongozi wa CHADEMA unamuona Nyalandu ni bora kuliko Lissu.

Naamini Tatizo la nchi hii ni Jiwe, kwa hiyo mtu au taasisi yoyote inayomkwaza mtu mwenye chance za kumg'oa Jiwe, hiyo taasisi lazima niinyoshee kidole!

That is my point!
 
Punguzeni jazba na msubiri kwanza. Watafichaficha ila mwisho wa siku lazima jina la Mgombea aliyepitishwa litoke hadharani. You are wasting lots of energy kudiscuss tetesi
 
Kama kweli ni hivyo,basi Kamati Kuu imefanya jambo jema maana huenda wangeonekana kumpendelea Lissu,hivyo wacha Baraza kuu likapige kura kuamua na hata Nyalandu ataridhika na matokeo.

Mkuu nawaza tu hili kwenye Baraza kuu watia nini wataruhusiwa kupiga kura maana napata harufu ya mtu kupata kura 0
 
Wanachofanya hao wajumbe ni haki yao, lakini Nyalandu hana ushawishi wowote kwetu sisi wapiga kura wa ukweli wa upinzani. Hayo maamuzi ya wajumbe ni halali, lakini hayana afya kwa mustakabali wa Cdm.
Wanachofanya hao wajumbe ni haki yao, lakini Nyalandu hana ushawishi wowote kwetu sisi wapiga kura wa ukweli wa upinzani. Hayo maamuzi ya wajumbe ni halali, lakini hayana afya kwa mustakabali wa Cdm.
kuna wagombea ubunge na madiwani wengi wa CHADEMA hawana uwezo wa kuendesha kampeni , unadhani bila msaada kutoka kwa Nyalandu watashindaje? Nyalandu ndio tegemeo pekee la CHADEMA kwenye kugharamia uchaguzi
 
Back
Top Bottom