Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Unafahamu mwaka 2015, Magufuli alikuwa pendekezo namba 3?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Missile majibu ya swali lako utapata kuanzia jumatatu pale mwamba atakapoingia na kuanzia tarehe 28 kwenye vikao vikuu vya chama .

Chadema ya sasa ni kama CCM ya 1960’s (TANU) na 1970’s kwa mipango mikakati kabambe.

Usione wako kimya na mengi wanafanyia ndani. Wanajua wanafanya nini na wanaelekea wapi. Wanajua Magu hana uungwaji mkono anaojitapa anao iwe kwenye vyombo vya dola au kwenye serikali na hata Chama chake pia. Sasa kwa kifupi subiri kuona huyu aliyeokolewa na Mungu kwenye risasi 38 anapoenda kukabidhiwa ikulu hapo October 2020
 
Lissu anapigwa stop kuelekea kuunyemelea Uenyekiti wa CHADEMA. Naamini Mbowe akiachia ngazi, Nyalandu ataachiwa Chama hivyo Lissu anatakiwa akae mbali asigombee Urais. Akigombea Urais anaweza kuwa popular zaidi na hivyo kuongeza nafasi ya urithi kitu ambacho wenye chama hawakitaki: hawamwamini Lissu!
 
Kete pekee mlizobaki nazo CCM juu ya Lissu ni ramli na vitisho vya kumuua.

Na mnalo mwaka huu CCM. Kiongozi wenu alivyotuma watu wakampige risasi Kwa nini hamkumshauri kuwa lile tukio litamuongezea umaarufu Lissu mara 1000 zaidi????

Sasa ndo mpambane na mtu mliyomuongezea umaarufu wenyewe kwa ujinga wenu na wa viongozi wenu.

Mnalo mwaka huu CCM!!
 
Hata hivyo tafsiri ya kura hizi ni kuwa Kamati kuu ya Chadema ambayo ndiyo uongozi wa Chadema hauamini kuwa Lissu ni mgombea bora kuliko Nyalandu.
Basi na iwe hivi:

Lissu akirudi aingie moja kwa moja ACT-Wazalendo na apewe huko nafasi ya kugombea uRais.

Unasemaje juu ya hilo?
 
ATI NAAMBATANISHA CHATI ZAOOOO UNAUMWAKWELI

KSWAUMU NA MAJAN YA MKARATUSI YANAKUHUSU
 
Una uhakika na haya uliyoandika kwenye mstari nilioukoreza?
Bila shaka ulikuwa na maana ya 'Magufuli' badala ya kumtaja 'Nyalandu' au vipi?

Ushahidi wangu ni hayo mengi uliyoandika huko juu ndani ya bandiko lako hili.
 
Caution For Singles, If You Want Your Relationship To Have A Future-β€˜Dr Paul Enenche

MAINTAIN THE PURITY OF THE MARRIAGE BED.
A marriage that would have a future must have the bed undefiled. When people have sex before marriage, THEY PRODUCES THREE (3) HARVEST;

1] Lost of Dignity.

-Your values drops in the eyes of the man, in the eyes of the woman..
β€œIf you are a real man, why couldn’t you hold yourself..”
β€œGirl, you are so cheap like that, I haven’t married you, yet I have had you”

Pre-marital sex lowers respect and dignity.

3 ] It Increases Mutual Suspicion.

-When you did the illegal with the person you haven’t married, there is mutual suspicion, β€œAre you sure is his office you are coming from?”. β€œlet me see your phone, who texted you”

For one reason or the other, at the back of the mind, THIS MAN THAT COULD DO THIS THING WITH YOU WHEN HE DIDN’T MARRY YOU, ARE YOU SURE HE COULDN’T DO IT WITH ANY OTHER PERSON?….Mutual suspicion!

3] Extramarital Tendency.

-THE SEED OF EXTRAMARITAL SEX, MANY TIMES WILL PRODUCE A HARVEST OF EXTRAMARITAL ISSUES. Where somebody is in the home but still looking outside..

>Pardon me, people can be tempted. That’s not what am referring to…
>The one am referring is, the person that have this seed in his body, a harvest that was planted before marriage..

#Marriage
#Relationship
@ChristianschatroomπŸ§β€β™€βœπŸ§πŸΏβ€β™‚
 
Naona taarifa za ujio wa Lissu zimeanza kuwatesa baadhi ya watu humu ndani, waliamini Lissu asingekaa arudi tena nchini, sasa bahati mbaya sana kwao, sio tu imethibitika kwamba atarejea, bali zaidi ndie anaenda kuwa mgombea Urais kupitia Chadema.

Hakika hili ni jambo la kushtua sana kwa watesi wa Lissu walioamini walishammaliza kwa zile risasi zao, ila Mungu akawathibitishia yeye ni zaidi yao.

#Lissu2020
 
Hahah Nyalandu?Huyo hata kura elfu 50 nchi nzima hawezi kupata na wakimuweka Nyalandu kugombea urais ndipo nitakapojua rasmi Mbowe ni pandikizi la Ccm kama wakina Mbatia/Mrema.
 
Peleka umbea na uchawi wako CCM achana na bedrooms za watu utakuja kufanyiwa kitu kibaya!
 
Walikuwa watu 28. Walipiga kura kila mtu kura anaandika majina ya watu watatu anaaoona wanafaa. Hivyo Nyalandu alipata kura za wajumbe wote. Skiliza hayo mahojiano wameelezea vizuri. Ila nimegundua Nyalandu yupo kwa kazi maalum. Si bure.
Nyalandu yuko kwny Special Mission huyo na hata Leo Chadema wakimkata na akaondoka chamani hana hata wafuasi wa 3 watakaomfuata maana hana ushawishi wowote ule kwny Chama
 
Huyu taira kaandika utopolp gani humu iv watu kama hawa wanaruhuxiwa vip kuleta uzi wa uzuxhi kam huu et idaiya kura 29 ilio haribika ni moja nyalandu 28.Lisu 24 mwingine23 kalculeti hizo namba uone uzuxhi wako ulovyo.
Huyu anatakiwa akamatwe kwa nguvu halafu akung'untwe viboko kama "salasini na tisa" vya shingoni.Marabook sana huyu mleta "sredi"!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Demikrasia ndani CHADEMA,apatikane 1,tuwaheshimu.
 
Jumla ya kura halali 28,halafu Nyalandu 28,Lissu 24, na Myrose ngapi????
 
Freeman anachoangalia ni Pesa ni wazi Lazaro ana marafiki wengi sana US ambao wanaweza kumjazia mpunga na asitoe hata mia ya chama kwenye kampeni, Upinzani TAL ni bora sana kwa sasa kuliko wakati wowote ila kwa vile Chair wenu kaweka interest zake mbele kuna possibility atamkata japo nguvu ya umma pia inaweza kuwin na TAL aka vie for presidency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…