Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

Panya buku, Nenda msibani Wacha kutufitinisha
 
Acha uongo na ramli chonganishi
 
Kamati ingekua wehu kuchagua mtu anayetangazia nia ughaibuni, lile ni tusi!
 
Propaganda mfu. Mkajipange upya
 
Pumbafu. Habari za uhakika za Lumumba
 
Act wapo wanasubiri Mbowe afanye maamuzi ya kijinga wamsign Lissu, hapa umakini unatakiwa.
 
 
Mods zikiletwa habari za uzushi kuizushia Chadema wanakausha lakini zikizushia CCM uzi unafutwa na mleta uzi anakula spana.
Siyo uzushi Ni kweli. Hata Nyalandu amekiri mwenyewe wakati anahojiwa na Jenerali online. Nenda Youtube mahojiano yapo
 
Nyalandu kakiri leo. Nenda Youtube utaona mahojiano yake na Jenerali Ulimwengu.
 
Walikuwa wanapiga kura tatu tatu kila mmoja. Nenda Youtube uone mahojiano ya Nyalandu na Jenerali Ulimwengu.
 
Mkubwa thread ni ya kweli. Walipiga kura tatu tatu kila mtu. Sikiliza mahojiano Nyalandu anakiri mwenyewe wakati anahojiwa na Jenerali Ulimwengu.
 
Hizi clip zako kwangu hazichezi, seems your file format is not supported in my Android file format.
Basi nenda YouTube u-search mahojiano ya Ulimwengu na Lazaro.
Search kwa kutumia maneno .
''EXCLUSIVE: Uhuru wa Bunge |Mahakama |Twiga |Haki ya Kumiliki Ardhi | Punguzo la Kodi |Katiba Mpya!''
 
Basi nenda YouTube u-search mahojiano ya Ulimwengu na Lazaro.
Search kwa kutumia maneno ''
EXCLUSIVE: Uhuru wa Bunge |Mahakama |Twiga |Haki ya Kumiliki Ardhi | Punguzo la Kodi |Katiba Mpya!

Nitayapata YouTube, Ni nini hasa nikajionee huko, maana mimi sina tatizo na upigaji huo wa kura. Au kuna kingine special?
 
Nitayapata YouTube, Ni nini hasa nikajionee huko, maana mimi sina tatizo na upigaji huo wa kura. Au kuna kingine special?
Special ni kuwa wengi hawaamini kuwa hii thread ina ukweli. Hivyo naonyesha kuwa ni legimate! Nothing more!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…