Mbowe aondolewe kwa nguvu kama mwenyekiti wa CHADEMA. Amezoea kufanya biashara za kisiasa, hafai

Itisha aasa kikao bwege wewe
 
Who are they?
 
You and your fellow Sukuma gang crew vs CHADEMA members and supporters.
This shit is so obvious kwamba nyinyi mnachukizwa na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti ilhali watu wa CHADEMA hawataki kabisa aachie kiti.
Tutaweka akiba hiii.

But Mbowe must Go. Awapishe wananchi wa kusini au magharibi waongoze
 
Kwani lazima ubaki ndani ya CHADEMA? Kama yamekushinda nenda ACT TANZANIA, CUF, CHAUMA nk.
 
Wanachama waandamane na kutaka Demokrasia kwenye chama chao. CHADEMA wawe mfano wa DEMOKRASIA
Kama wanachama hawaoni tatizo la kuandamana ili kumtoa Freeman Aikael Mbowe, wewe mamluki kinachokusumbua ni nini?
 
Mbowe huko alipo kwa sasa anashukuru Mungu kamletea kichaka cha kujificha (bandari) πŸ˜‚πŸ˜‚

Alaf alivyokuwa mchawi, hata wewe ulieandika thread hii sasa hivi umekuwa upande wa mabata wake, anakuswageni tu muingie bandani 🀣🀣🀣

Uchaguzi wa kuwa na imani nae utafanyika tena mwaka 2034.
 
Umerogwa?
 
Ndugu kamanda mchomvu,Dudumizi,Comte na marafiki zenu mmerudi upya kwa zile mambo zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndugu kamanda mchomvu,Dudumizi,Comte na marafiki zenu mmerudi upya kwa zile mambo zenuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa sasa Kamanda Asiyechoka ashawekwa ndani ya mfuko wa Mbowe, bila shaka zile harakati zake uchwara za kutaka uongozi mpya ndani ya chama zimekufa kibudu.

Nilimuonya mapema kwamba chama ni cha mkwe wa mwenyekiti, kwahiyo kamanda alienyong'onyea ana option 4 za kuchagua, ambazo ni...

1. Kukubali kuburuzwa na mwenyekiti kama wenzake.
2. Kujiunga na Zito Kabwe.
3. Kukimbilia CCM
4. Kuanzisha chama chake.

Bahati nzuri au mbaya, kamanda mwenyewe kaufyata na kuamua kuburuzwa kama bata wa mwenyekiti.
 
Kijiti kamkabidhi Mr.DudumiziπŸ€”
 
Duu chupa imeamka na chai
 
MASWALI:
1. CCM ilihonga?
2. Wewe nawe unataka uingie umeze asali?
3. UVCCM hamna akili,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…