Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itisha aasa kikao bwege weweAngalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Who are they?Straightforward questions:
- Hivi kwanini Sukuma gang ndiyo wanaumizwa na Mbowe kuwa mwenyekiti CDM ilhali watu/wanachama/supporters wa CDM wanang'ang'ania aendelee?
- Watu wa CDM wanafaidika nini na Mbowe kuwa mwenyekiti na Sukuma gang wanaathirika nini katika harakati zao za kisiasa Mbowe anapoendelea kuwa mwenyekiti wa CDM?
You and your fellow Sukuma gang crew vs CHADEMA members and supporters.Who are they?
What a stupid point to makeMbowe hana tofauti na Raila Odinga, as long as ukihakikisha maslahi yake binafsi yanazingatiwa wala hakusumbui.
Tutaweka akiba hiii.You and your fellow Sukuma gang crew vs CHADEMA members and supporters.
This shit is so obvious kwamba nyinyi mnachukizwa na Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti ilhali watu wa CHADEMA hawataki kabisa aachie kiti.
What a waste of time to reply. You'll probably know this when you are in a grave, just in case you are not one of them.What a stupid point to make
Kama wanachama hawaoni tatizo la kuandamana ili kumtoa Freeman Aikael Mbowe, wewe mamluki kinachokusumbua ni nini?Wanachama waandamane na kutaka Demokrasia kwenye chama chao. CHADEMA wawe mfano wa DEMOKRASIA
Mbowe huko alipo kwa sasa anashukuru Mungu kamletea kichaka cha kujificha (bandari) 😂😂Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Umerogwa?Mbowe huko alipo kwa sasa anashukuru Mungu kamletea kichaka cha kujificha (bandari) 😂😂
Alaf alivyokuwa mchawi, hata wewe ulieandika thread hii sasa hivi umekuwa upande wa mabata wake, anakuswageni tu muingie bandani 🤣🤣🤣
Uchaguzi wa kuwa na imani nae utafanyika tena mwaka 2034.
Ndugu kamanda mchomvu,Dudumizi,Comte na marafiki zenu mmerudi upya kwa zile mambo zenu😂😂😂Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
Usiniletee upuuziNdugu kamanda mchomvu,Dudumizi,Comte na marafiki zenu mmerudi upya kwa zile mambo zenu😂😂😂
Kwa sasa Kamanda Asiyechoka ashawekwa ndani ya mfuko wa Mbowe, bila shaka zile harakati zake uchwara za kutaka uongozi mpya ndani ya chama zimekufa kibudu.Ndugu kamanda mchomvu,Dudumizi,Comte na marafiki zenu mmerudi upya kwa zile mambo zenu😂😂😂
Kijiti kamkabidhi Mr.Dudumizi🤔Kwa sasa Kamanda Asiyechoka ashawekwa ndani ya mfuko wa Mbowe, bila shaka zile harakati zake uchwara za kutaka uongozi mpya ndani ya chama zimekufa kibudu.
Nilimuonya mapema kwamba chama ni cha mkwe wa mwenyekiti, kwahiyo kamanda alienyong'onyea ana option 4 za kuchagua, ambazo ni...
1. Kukubali kuburuzwa na mwenyekiti kama wenzake.
2. Kujiunga na Zito Kabwe.
3. Kukimbilia CCM
4. Kuanzisha chama chake.
Bahati nzuri au mbaya, kamanda mwenyewe kaufyata na kuamua kuburuzwa kama bata wa mwenyekiti.
Duu chupa imeamka na chaiAngalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.
Alivuta mpunga Dkt. Slaa akabaki kuduwaa na kuropoka. Prof Safari umeona hiyoooo.
Alishatupiga sana.
Sasa hivi creame yote ya asali analamba yeye.
Kwa hiii kaliba ya Mbowe hafai hata kidogo. Tuitishe mkutano mkuu na kumkataaa. Tumkatae kabisa.
MASWALI:Angalia mwaka 2015 alipovuta mpunga na kutuuza usiku wa manane na kumkaribisha Lowasa.