Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Mbowe ashikiwa bango kutafuna milioni 800 za ujenzi wa ghorofa la Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA

Magazeti Fahari yao,Tanzanite na Jamvi la habari.Haya magazeti kwa ajili ya kumchafua mbowe na si vinginevyo,Ukiangalia wanachokiandika utafikiri watoto wako chekechea..Wanaona udhaifu wa upinzani tu! Tuyapuuze haya matoilet paper
 
CCM ni chama kikubwa na kikongwe huwezi kukiweka mizania moja na vyama vingine vya upinzani. Ila zingatia kwamba, ukubwa na ukongwe siyo vigezo pekee vya kupewa ridhaa ya kuongoza na wananchi.

Aidha, wananchi wana vigezo na vipimo vyao, pia na matakwa yao ambavyo hivyo vyote vitatu hubadilika mara kwa mara kulingana na wakati na mahitaji ya jamii.
 
Tatizi ninyi munawaona hawana maana, Wakati hao muwaaminio wanakuja kusoma kwao.

Jamaa wametangulia sana
 
Jalibu kutenda haki hata kama ndio uchawa, basi uwe kwa kiasi.

Waliozindua chama ni CCM kama chama au Serikali? Maana Mimi nimeona viongozi kibao,Raisi mwenyewe,uccm ulionekana kwenye mashati na rangi ya kijani, lakini pesa ya umma imetumika kufanikisha like zoezi.

Magari yaliyotumika, wanausalama waliokuwepo watalipwa posho kutoka mfuko wa ccm au hazina? Ile ilikuwa shughuri ya chama lakini iliyobebwa na serikali.

CCM ndio hazina, ndio serikali.
 
Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.

Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Unadhani CCM tunaweza jenga vyuo kama hivyo? Waliojenga makao makuu ya CCM ndio wamejenga kwa msaada chuo hicho. Na ni chuo cha vyama washirika hapa Afrika.
 
Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.

Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Pamoja na kuwa na ofisi nzuri na kuzindua chuo lakini bado mnakosa watu wa kuwapa uongozi hadi mnachukua toka chama kisicho na ofisi (silinde, gekul, nassar, mashinji n.k).

Hii maana yake kuwa chama bora sio majengo mazuri bali sera bora.
 
Back
Top Bottom