MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Sio gazeti ni kipepelushi cha lumumbaHili Gazeti ni kwa nini linapenda kutumia neno "inadaiwa" kama habari zake ni za kweli? Ni kwa nini wasiseme kwamba wao kazi yao ni kuandika habari za kufikirika!?
Yaani nilipoona source ni hicho kijigazeti. Uzi mzima ukakosa credibilityLa udaku hilo; lipuuze!
UongoChuo ni cha Serikali so vyama vyote mnaweza kupeleka watu wenu pale.
Utoto unakusumbua ukikua utaacha.Una mimba?
Asubuhi subuhi unawaza upuuzi na kuuanika hadharani.
Sio kweli.CHADEMA imekufa
Unadhani CCM tunaweza jenga vyuo kama hivyo? Waliojenga makao makuu ya CCM ndio wamejenga kwa msaada chuo hicho. Na ni chuo cha vyama washirika hapa Afrika.Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Pamoja na kuwa na ofisi nzuri na kuzindua chuo lakini bado mnakosa watu wa kuwapa uongozi hadi mnachukua toka chama kisicho na ofisi (silinde, gekul, nassar, mashinji n.k).Tulishakuwa na mpango kama wa CcM kuwa na chuo kama hicho na tuliahidi kukiita chuo cha uongozi cha Edwin Mtei.
Sasa kama ofisi ya Makao makuu imetushinda. Ndio tutaweza chuo?
Cha serikali. Unausingizi wa pono.Chuo ni cha Serikali so vyama vyote mnaweza kupeleka watu wenu pale.