afisakipenyo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2020
- 445
- 777
kwan majaaliwa kashindwa ubunge mpaka apewe nafasi10 za raisiJe, waziri mkuu anaweza kupewa mbunge wa nafasi zile 10 za kuteuliwa na raisi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan majaaliwa kashindwa ubunge mpaka apewe nafasi10 za raisiJe, waziri mkuu anaweza kupewa mbunge wa nafasi zile 10 za kuteuliwa na raisi?
Wapinzani wanahitaji viongozi wapya wa upinzani kushindana na chama tawala, hawa waliopo hivi sasa wameshaishiwa akili na hawana jipya.Huu upinzani wa CHADEMA nao tunauita upinzani kweli tuko serious? Makinikia inakamatwa halafu mnatetea wazungu, Wala Rushwa wanatumbuliwa mnawatetea. Huu upinzani wa kupinga kila kitu, Huu upinzani wa kusodoa kila kazi njema inayofanywa na seriklali kweli nao tuite UPINZANI!
Tanzania Upinzani unatakiwa kufanyiwa FORAMT kama kwenye kompyuta iliyojaa virusi au kuflashiwa kama kwenye smartphone iliyojam
OPPOSITION NEED TOTAL RESET