Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Kwani wewe uliamini Mbowe angeshinda ubunge? Mbona raia wake walishasema kitambo kuwa hawatamchagua kipindi hiki kutokana na uzwazwa wake.

Inabidi arudi tu kuiba mali za chama chake kabla hakijafa.....chezea Magufuli weyeeee, si aliwaambia upinzani utakufa katika utawala wake.

Mwangalieni zezeta Zitto anavyohaha kila kukicha yuko huku mara kule haelewi anafanya nini. Lipumba na Maalim Seif hivyo hivyo, wanashikana uchawi na hawajitambui.
 
Kwani wewe uliamini Mbowe angeshinda ubunge? Mbona raia wake walishasema kitambo kuwa hawatamchagua kipindi hiki kutokana na uzwazwa wake. Inabidi arudi tu kuiba mali za chama chake kabla hakijafa.....chezea Magufuli weyeeee, si aliwaambia upinzani utakufa katika utawala wake. Mwangalieni zezeta Zitto anavyohaha kila kukicha yuko huku mara kule haelewi anafanya nini. Lipumba na Maalim Seif hivyo hivyo, wanashikana uchawi na hawajitambui.
Kwa hiyo upinzani ukifa wewe unapata faida gani? Unajua akili zako hazina akilim....weka utu na utanzania kwanza..tunahitaji jicho la upinzani kwa maendeleo ya Nchi.
 
We unasema toka 2015 wakati ana zaidi ya miaka 10 ukitia ule mwaka aloshinda Fuya Kimbita hamna alichofany migogoro shamba la KIA ameshindwa.

Barabara ya mferejini tu kumbwe hajaifanyia kitu anaita ya ngombe baadh ya vijj vya Rundugai hadi leo havina maji halafu unajiita Mbunge 😁😁 Kila kitu kina mwisho "Ndani ya Saa 72 Kuanzia Sasa Naenda Kuwa Waziri Mkuu" Naleft
Sasa wao chama si kipo mioyoni ama umesahau
 
Kwa hiyo upinzani ukifa wewe unapata faida gani?....unajua akili zako hazina akilim....weka utu na utanzania kwanza..tunahitaji jicho la upinzani kwa maendeleo ya Nchi.
Kwa akili yako huu upinzani tulionao ni upinzani kweli au ni genge tu la kihuni?
 
Itoshe kusema nimefurahishwa kwa kitendo Cha kishuja na uzalendo uliotukuka kwa masilahi mapana ya wana HAI

Wananchi wameamua Chadema Sasa Basi.
Alijidai eti lock down wazee kwa vijana wakamtambua kavimbiwa mapochopocho

Kamanda wa anga chali na konyagi yake mkononi
 
Amenuia Mbowe, Lema, Heche, Sugu, Msigwa, Mdee, Bulaya, Ruge, Peneza, Kishoka wasirudi mjengoni.
Mbeya mjini Dr. Tulia kamuacha mbali Mbilinyi
Arusha Gambo kamtupa mbali Lema
Tanzania yote ya Kijani sasa, CCM Oyee!!
 
Kwa akili yako huu upinzani tulionao ni upinzani kweli au ni genge tu la kihuni?
Huu upinzani wa CHADEMA nao tunauita upinzani kweli tuko serious? Makinikia inakamatwa halafu mnatetea wazungu, Wala Rushwa wanatumbuliwa mnawatetea. Huu upinzani wa kupinga kila kitu, Huu upinzani wa kusodoa kila kazi njema inayofanywa na seriklali kweli nao tuite UPINZANI!

Tanzania Upinzani unatakiwa kufanyiwa FORAMT kama kwenye kompyuta iliyojaa virusi au kuflashiwa kama kwenye smartphone iliyojam
OPPOSITION NEED TOTAL RESET
 
Je, waziri mkuu anaweza kupewa mbunge wa nafasi zile 10 za kuteuliwa na raisi?
 
Bado kinda yule, unajua ukizidisha uongo watu wanachukia. Hapa JF tunataka kupata taarifa za ukweli si ushabiki wa kitoto kama wa akina Erythrocyte na marafiki wake. Hata Yeriko Nyerere nilimsangaa kama si kumshangaa. Dada yangu Sky Eclat namjua hata kwa sura ila alichokuwa anaandika hapa, mungu anajua..
Tangazeni basi ushindi wa CCM kupita bila kupingwa Tanzania nzima. Mnasubiri nini?
 
Hesabu Simple Tu ,tuna hitaji kujua idadi kamili ya wapiga Kura ktk Jimbo husika thn tuna angalia idadi ya Kula alizo pata Mh Mbowe ina maana hizo ndiyo Kura halali alizo pata, then tuna toa idadi ya watu waliyo piga Kura ,ata kama wizi uwezi kua kwa gap kubwa hvyo Mpnzani wake nae ana wafuasi wake ukiwa na mihemko uwezi kuliona hili
 
Mbona Ocd alishamwambiwa, kua hashindi. Sema mbowe ni mpambanaji sana kwa yote aliyopitia that's man deserves an honor
 
Mwanahabari Absalom Kibanda ametoa maoni yake huru kuhusu anguko la Mbowe huko Jimboni Hai.

Kibanda ameainisha kuwa Mbowe alishindwa kwenda kufunga kampeni za Urais Kawe ikiwa ni kiashiria kuwa hali ya ushindani jimboni Hai ilikuwa imeshika kasi.

Maoni haya yamewakera sana wanaharakati huko Twitter.
 
Back
Top Bottom