Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Hakuna ukweli hapa mkuu. Mawakala wote wa Chadema Jimbo zima la Hai tulitolewa nje na kutfanyiwa vitimbi wakati wa zoezi la kuhesabu kura.
Kwanini msikinukishe?

Lisu si alisena wapiga kura wenu wabaki vituoni kulinda kura?
 
Imetangazwa mapema sana na TBC kwa sababu maalumu kabisa!

Hivi kuna matokeo mengine tena ya jimbo la Hai?

Mbona Polisi OCD alishamwambia Mbowe! wiki moja iliyopita.

JokaKuu Nyani Ngabu Pascal Mayalla
P
 
Hivi ni vichekesho, pale hai wapiga kura sidhani kama wanafikia elfu arobaini, sasa hii ya kuwa na kura zaidi ya laki moja sijui imekaaje.
 
Nakumbuka Lisu alioomtukana Magu eti kajenga uwanja kwa ajili yake na mamaake
OKW BOBAN SUNZU nilimweleza kuwa ana mikosi, anashabikia simba inachapwa na sasa anashabikia Toto tundu nalo litachapwa asubuhi. 80,000 kwa 27,000 ati watu waandamane wakati watoto wake wapo ulaya. Huyu mbinafsi sana. Natafuta ile clip ya OCD niiweke alisema ukweli. 'Hivi mnadhani mnaweza kumshinda?" na 'wewe unategemea kushinda' . Anatakiwa awe IGP.
 
OCD ni maneno tu yale, ambayo hakutakiwa kuy5asema ila sio sababu. Sasa nyie mtajisahau na kùjiuliza mmekosea wapi na mtajikita na hayo maneno. Ukweli ni kua wanahai walimchoka mbowe hata ktk mikutano yake walihoji maswali magumu kwa mbowe..
Na kauli ya kauli za jpm na majaliwa pale hai za tunataka connection, mnajichelewesha wenyewe yaļikua ni chachu.
Kiongozi ukitawala muda mrefu watu wanakuchoka.Huenda kweli Mbowe walimchoka.Mtihani mkubwa ni kuwa Huyo aliyeshinda inabidi afanye kitu kitakachoonekana.
 
Mbowe Hatimae umevuna mabua, baada ya kumchekea sana Kima.
 
Erythrocyte Salary Slip Sky Eclat Retired etc. Nini nimekuwa nasema hapaaaaaaaaa JF. Mache upuuuzi siku nyingine. JPM anapendwa piga ua. Mungu mkubwa kwa Tundu Lissu aone kuwa matusi hayana tijaaaaaaaaaaaa.
Hii ni rasmi mbowe chali, soma ubao hapo chini ya runinga

20201029_074204.jpg
 
Hivi ni vichekesho, pale hai wapiga kura sidhani kama wanafikia elfu arobaini, sasa hii ya kuwa na kura zaidi ya laki moja sijui imekaaje
Jimbo la hai unajua mipaka yake ni ipi?
 
Ndiyo maana hakutaka kabisa kuzunguka na mgombea Uraisi kumkampenia, alijua kwake kunaungua siyo?

Acha iwe hivyo, Tanzania ni kubwa kuliko Mbowe na Sugu
 
Back
Top Bottom