Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Huu upinzani wa CHADEMA nao tunauita upinzani kweli tuko serious? Makinikia inakamatwa halafu mnatetea wazungu, Wala Rushwa wanatumbuliwa mnawatetea. Huu upinzani wa kupinga kila kitu, Huu upinzani wa kusodoa kila kazi njema inayofanywa na seriklali kweli nao tuite UPINZANI!

Tanzania Upinzani unatakiwa kufanyiwa FORAMT kama kwenye kompyuta iliyojaa virusi au kuflashiwa kama kwenye smartphone iliyojam
OPPOSITION NEED TOTAL RESET
Wapinzani wanahitaji viongozi wapya wa upinzani kushindana na chama tawala, hawa waliopo hivi sasa wameshaishiwa akili na hawana jipya.
 
Back
Top Bottom