Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Seriously?

Is hé that naive? Or rather, is he that dumb?
Kama last time alishinda why not this time?!

Issue hapa kuna uhuni wa hali ya juu zaidi umefanyika ambao haukutegemewa na mtu yeyote mwenye akili timamu kama ungeweza kutokea Tz.

Katiba Mpya unayoipigia kelele unadhani CHADEMA peke yao wanaweza kuileta? au kususa nako unadhani panaweza kusaidia chochote? mbona walisusa Znz maisha yakaendelea, wakasusa tena S/M maisha bado yanaendelea?!
 
Back
Top Bottom