Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Kuna kauli moja niliwai kuisikia hata wakati tupo kwenye mfumo wa chama kimoja wakina Anna Makinda na wengine ndani ya bunge waliteuliwa kuwa wapinzani...Labda sasa Tanzania itakuwa kama Ulaya baada ya wapinzani kutorudi Bungeni.
Magufuli hapendi kupingwa toka moyoni yaani ukimpinga tu kosa...
Zile hoja za wapinzani zinamfanya akose usingizi yeye anataka kusikia tu kila siku ooh Yesu, hakuna kama yeye, yeye ni chaguo la watanzania nk
In short, figisu nyingi zimetumika kuhakikisha miiba mikali kwao hairudi bungeni.
Hii ilianza kipindi cha nunua nunua, kauli yake ya atahakikisha upinzani kabla ya 2020 umefutika na hata kwenye uchaguzi nguvu iliyotumika kwa baadhi ya majimbo ya upinzani kama Kawe na Hai ni kubwa. Kawe wamekamata kura feki za kutosha.
Kikubwa upinzani ni imani ambayo haiwezi futwa...