Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Sijajua mnalalamika nin,wakati wenzenu ccm wanahamasisha watu wao wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura nyie mlikuwa busy na mitandao,haya wamehamasishana wakapige jura nyie mko busy kupost upuuzi kwenye mitandao,leo mmepigwa bao mnalalamika kuibiwa.mawakala wenu si walikuwepo vituoni ama mmeibiwaje?
Huwezi jua kwasababu unajua ila unajidai hujui!.
 
Wanaweza, ila sio kwenye mazingira ya uchaguzi huu, kipofu pekee ndii ataamini hilo unalowaza.

Anzia OCD Hai kumwambia Mbowe hatarudi, Ndugai bungeni, kura feki everywhere...no way!.
Uliona ule mkutano wa Lissu Hai? Umeona mikutano ya Mbowe mwenyewe? Kwanini watu walikuwa hata kuhudhuria hawakwenda?
 
Gap ni kubwa Sana wangefanya hata tofauti ya kura angalau 8000 au 13000.Yaani kura za Mbowe zikaribiane na wa ACT? Hapa sayansi ya wizi awakuitendea haki.
 
Kama last time alishinda why not this time?!

Issue hapa kuna uhuni wa hali ya juu zaidi umefanyika ambao haukutegemewa na mtu yeyote mwenye akili timamu kama ungeweza kutokea Tz.

Katiba Mpya unayoipigia kelele unadhani Chadema peke yao wanaweza kuileta? au kususa nako unadhani panaweza kusaidia chochote? mbona walisusa Znz maisha yakaendelea, wakasusa tena S/M maisha bado yanaendelea?!
Hoja dhaifu sana hii, kwamba kwa vile kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kila siku anashinda basi hata huu alishaandikiwa mshindi atakuwa yeye tu?
 
Hoja dhaifu sana hii, kwamba kwa vile kwenye uchaguzi wa ndani ya chama kila siku anashinda basi hata huu alishaandikiwa mshindi atakuwa yeye tu?
Unaruhusiwa kuwa kipofu wa akili, sikuzuii.
 
Uliona ule mkutano wa Lissu Hai? Umeona mikutano ya Mbowe mwenyewe? Kwanini watu walikuwa hata kuhudhuria hawakwenda?
Kwa sababu hii, muwe mnatumia akili kidogo.
tapatalk_1603935250441.jpg
 
Hii gap kubwa Sana si kwa wizi huu
Taarifa za ndani inasema watu wa kitengo wamehusika sana na manipulation of database na kura za maruhani, wametumiwa sana polis, mawakala wa CCM na baadhi ya wasimamizi wa tume wa vituo kupenyeza mzigo. Baadhi ya maeneo wamehongwa mawakala ili wabalance kura
 
Una justify vipi ushindi wa hilo pengo la kura kwenye mazingira ya uchaguzi yaliyogubikwa na utata kila kona ya nchi?

Hata kama walikuwa close last time, hiyo sio sababu this time ashindwe kwa pengo la kura karibia sitini elfu, it's all fake!.
Amezomewa sana na wananchi mwaka huu. Walimchoka kwa kula bata Chako ni chako na kuwasahau.
 
Taarifa za ndani inasema watu wa kitengo wamehusika sana na manipulation of database na kura za maruhani, wametumiwa sana polis, mawakala wa ccm na baadhi ya wasimamizi wa tume wa vituo kupenyeza mzigo.Baadhi ya maeneo wamehongwa mawakala ili wabalance kura
Unao ushahidi? Maana kila kona tarajieni kushindwa.
 
Wafuasi wa Chadema wakiambiwa ni wagumu sana wa kuelewa mambo!

Mimi niliwaambia mapema kwamba mwaka huu watapigika kuliko walivyopigika 2015, lakini kama kawaida yao wakafungulia floodgate ya matusi.
 
Back
Top Bottom