LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Mkuu ngoma ni nzitooo mawakala walioingizwa vituoni ngoma ishaanza.Wakati wanaiba mawakala wa Chadema walisinzia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ngoma ni nzitooo mawakala walioingizwa vituoni ngoma ishaanza.Wakati wanaiba mawakala wa Chadema walisinzia?
Pamoja na hivo, wanakwambia hyo difference sio halisia.wasimamizi wa uchaguzi walipewa seminar mbili, ya chama na tume...Wananchi walishamchoka siku nyingi tu.
Kwamba kama kwa mwenyekiti wamefanya hayo. Hakuna sababu ya kutangaza tofauti na mwana ccm majimbo mengine. Huu uharamia una mwishoImetangazwa mapema sana na TBC kwa sababu maalumu kabisa!
Hivi kuna matokeo mengine tena ya jimbo la Hai?
Mbona Polisi OCD alishamwambia Mbowe! wiki moja iliyopita.
JokaKuu Nyani Ngabu Pascal Mayalla
Hao mawakala si walipelekwa na Chadema?Mkuu ngoma ni nzitooo mawakala walioingizwa vituoni ngoma ishaanza.
Siku simba akikosa wa kumla ataanza kutafuna simba wenzie. Shangilia leo ila kilio chaja miaka ijayo.zile kura za humu jf hazikumtosha?😂😂😂😂
cheki nyumbus vile zitaama na upepo...
Unafurahia Magufuli anavyoliangamiza taifa letu?zile kura za humu jf hazikumtosha?😂😂😂😂
cheki nyumbuzzzz vile zitaama na upepo...
Je mpaka wanachakachua mawakala wa Cdm wanakuwa wapi? Kwa nini wakubali kujaza fomu? Kwa nini Mbowe akubali matokeo kutanganazwa?Pamoja na hivo, wanakwambia hyo difference sio halisia.wasimamizi wa uchaguzi walipewa seminar mbili, ya chama na tume...
Yes, wametengeneza pengo la kura feki karibia elfu sitini ili kudanganya watu kashindwa kihalali!
Jiwe ni laana kwa nchi yetu.
Kama Mbowe kashindwa, hao wengine je ndo itakuwaje?Imetangazwa mapema sana na TBC kwa sababu maalumu kabisa!
Hivi kuna matokeo mengine tena ya jimbo la Hai?
Mbona Polisi OCD alishamwambia Mbowe! wiki moja iliyopita.
JokaKuu Nyani Ngabu Pascal Mayalla
Hongera sana Mh. Mbowe. Mchezo wa siasa ni kushinda au kushindwa. Wananchi wamesema sasa basi. CCM imeshinda kwa kishindi Jimbo la Hai
Nawaza Bunge linaenda kuwa la namna gani baada ya 99.6% ya wabunge wa CC[emoji848] ndani ya Bunge
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Mawakala walizuiliwa na wasimamizi wa uchaguzi kwa muda huku kura za maruhani zikipenyezwa kwenye masanduku, wahusika ni baadhi ya wasimamizi na mawakala wa ccm.mambo hayo yametendeka karibu nchi nzimaHao mawakala si walipelekwa na Chadema?
kisa DJ kashindwa 😂😂😂😂!!!Unafurahia Magufuli anavyoliangamiza taifa letu?
Unao ushahidi wa mtu aliyeona? Ushahidi wa video? Au ni kelele za wapinzani toka 1995 ambazo wananchi walishazichoka?Mawakala walizuiliwa na wasimamizi wa uchaguzi kwa muda huku kura za maruhani zikipenyezwa kwenye masanduku, wahusika ni baadhi ya wasimamizi na mawakala wa ccm.mambo hayo yametendeka karibu nchi nzima
Sawa mkuu huyo Magufuli unayemshabikia ataendelea Kujaza vyoo vya ikulu wewe ukiteseka na kuzizibuakisa DJ kashindwa 😂😂😂😂!!!
haya ingizeni watu barabarani sasa
Lala we dogo.Hawa wapumbavu ndio wanaenda kuondoa ukomo wa rais