Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Hata Zitto. Harudi. Ndio maana wamezima mitandao wanajua wameiba kura ubunge na urais. Yaani Tanzania inakwenda kuwa nchi ya ajabu ya bunge la ndiyo mzee na watapitisha kuwa Rais wa maisha.Amenuia Mbowe, Lema, Heche, Sugu, Msigwa, Mdee, Bulaya, Ruge, Peneza, Kishoka wasirudi mjengoni.