Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Wewe cheka tu. Ila utaona jinsi maisha yanakwenda kuwa magumu. Kama upo nje ya nchi jiandae kutuma hela mara tatu ya ulivyokuwa unatuma kwenu.
Sis kuna watu wanafikiria kwa kutumia moyo na hua wanawaza sasa tu bila ya kua na maono ya baadae, siku wakijua umuhimu wa kuhusisha ubongo katika fikra zao it's too late... and unfortunately it's already too late.
 
Magufuli ameharibu nchi hii sana, yani hapo wameiba mpaka basi kuonyesha kuwa amemzidi mbali kumbe uongo mtupu.
Aise hata aibu huna, tofauti ya kula zote hizo unasema wameiba? Hizo kula karibu 60,000 zimeingiaje bila mawakala wenu kuona? Mkubali matokeo hamna namna.
 
Tanzania inaenda kuwa kama Zimbabwe hapa tujipange haswa ikiwezekana tukatafute hela hata uarabuni huko
 
Tatizo wakishashinda huwa wanasahau majimbo wanataka kuonekana wakitaifa na kimataifa mwenzao Mnyika alisoma alama za nyakati.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
HAKUNA ATAKAYE SHINDA MBELE YA MTUTU WA BUNDUKI KWA HALI HII YA SASA.... HAKUNA NE O ALIKUWEPO BUNGENI NA WATAMKUMBUKA SANA
 
Tatizo wakishashinda huwa wanasahau majimbo wanataka kuonekana wakitaifa na kimataifa mwenzao Mnyika alisoma alama za nyakati.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hao wa CCM wanakuwaga majimboni linganisha jimbo La Hai na jimbo moja la Monduli ni la CCM
 
Ushindi wa CCM ni sawa na kupiga bomu mochwari ili hali mule ni marehemu wapo halafu unajisifu umeua, lengo la CCM kuua upinzani nchi nzima ulionekana mapema tangu serikali za mtaa
 
Hao wa ccm wanakuwaga majimboni linganisha jimbo La Hai naJIMMBO MOJANLA CCM KAMA MONDULI
Angekuwa wa maana wangemchagua....Hongera CCM kwa USHINDI.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huu uchaguzi hata CCM wenyewe wanajisikia vibaya kwa jinsi ulivyoendeshwa ila wanajikaza tu kushangilia.
Mkuu Salary Slip wewe ni shahidi kuwa CCM kamwe haikujibu tuhuma chafu, kwenye kampeni, za wagombea wa CHADEMA dhidi ya M/Kiti na mgombea wao wa Urais. Iweje leo ulaumu kwa hao viongozi kuingia kwenye kaburi walilolichimba wenuewe!
 
Angekuwa wa maana wangemchagua....Hongera CCM kwa USHINDI.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Sawa Yaishe wameshindwa na watashinda na waliobaki wote na bungeni watakuwa wote na katiba wataibadilisha MM NAJIANDAA KWA SELF Sustaining life najua huko mbele kutakuwa uzuri ssna
 
MCHAƘATO WA ƘATIƁA NƊO ƁƳE ƁƳE....NA TUME HURU NƊIƳO ƁASI TENA....Watetezi wa wananchi wametolewa nje ,wameɓaƙi watetezi wa serikali😫😫😫
 
Halafu Police ikiitwa Policeccm mkatae? Useless country! I saw it coming..
 
Back
Top Bottom