Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Tulishamchoka huyo its their time to rest akahududumie hotel zake Wachaga wanamwita "Kaka"😁😁😁
 
Hakuna chochote anachofanya toka 2015 kazi kubaki Kujaza vyoo vya ikulu tu. Halafu nyie ndio wa kuzibua. Kalivyo kama kanguchiro flani hivi kamebaki kurukaruka hapa na pale eti kana tawala.

Kafe tu ni zigo la mavi
We unasema toka 2015 wakati ana zaidi ya miaka 10 ukitia ule mwaka aloshinda Fuya Kimbita hamna alichofany migogoro shamba la KIA ameshindwa.

Barabara ya mferejini tu kumbwe hajaifanyia kitu anaita ya ngombe baadh ya vijj vya Rundugai hadi leo havina maji halafu unajiita Mbunge 😁😁 Kila kitu kina mwisho "Ndani ya Saa 72 Kuanzia Sasa Naenda Kuwa Waziri Mkuu" Naleft
 
Je mpaka wanachakachua mawakala wa Cdm wanakuwa wapi? Kwa nini wakubali kujaza fomu? Kwa nini Mbowe akubali matokeo kutanganazwa?
Nani kakwambia kutangaza matokeo mpaka upinzani kakubali? Haaaaa.jiulize kwa nn mitandao ilizimwa?
 
Mawakala walizuiliwa na wasimamizi wa uchaguzi kwa muda huku kura za maruhani zikipenyezwa kwenye masanduku, wahusika ni baadhi ya wasimamizi na mawakala wa ccm.mambo hayo yametendeka karibu nchi nzima
Ukiitwa mahakamani,unaweza kutoa ushahidi pasipokuacha shaka?maana tuhuma nzito sana hizi
 
Nani kakwambia kutangaza matokeo mpaka upinzani kakubali? Haaaaa.jiulize kwa nn mitandao ilizimwa?
Utaratibu ni kuwa lazima wagombea wote wajaze fomu kukubali matokeo. Kama hujaridhika unaacha kujaza japokuwa yanatangazwa tu. Mbona amejaza?
 
Makamanda kipigo kipo pale pale hata muende the hague kipigo ni pale pale
 
Apumzike sasa, tena ikiwezekana na uenyekiti nao apumzike....
 
Ndugu Mbowe kwa sasa ni Freeman, ni raia kama raia wengine.
 
Ndio maana wamezima internet. Hakuna mbunge wa upinzani atashinda ubunge. Na Magufuli anakwenda kuwa Rais wa maisha.
 
Back
Top Bottom