Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Uchaguzi 2020 Mbowe ashindwa kutetea Ubunge wake katika Jimbo la Hai

Imetangazwa mapema sana na TBC kwa sababu maalumu kabisa!

Hivi kuna matokeo mengine tena ya jimbo la Hai?

Mbona Polisi OCD alishamwambia Mbowe! wiki moja iliyopita.

JokaKuu Nyani Ngabu Pascal Mayalla
Kwamba kama kwa mwenyekiti wamefanya hayo. Hakuna sababu ya kutangaza tofauti na mwana ccm majimbo mengine. Huu uharamia una mwisho
 
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Yes, wametengeneza pengo la kura feki karibia elfu sitini ili kudanganya watu kashindwa kihalali!

Jiwe ni laana kwa nchi yetu.
 
So kwelii.kwa rafu walizocheza ccm.
Mbowe hajashindwa kihalali..
Hizo kura zihesabiwe Tena na yeye mwenyewe akiwemo
Hongera sana Mh. Mbowe. Mchezo wa siasa ni kushinda au kushindwa. Wananchi wamesema sasa basi. CCM imeshinda kwa kishindi Jimbo la Hai
 
Hao mawakala si walipelekwa na Chadema?
Mawakala walizuiliwa na wasimamizi wa uchaguzi kwa muda huku kura za maruhani zikipenyezwa kwenye masanduku, wahusika ni baadhi ya wasimamizi na mawakala wa ccm.mambo hayo yametendeka karibu nchi nzima
 
Ukitaka kuua nyoka piga kichwani
Wameanza na m, kiti kisha wanakuja kuua vinyoka nyoka vyote
Baada ya miaka 2 iyayo [emoji3577] itakuwa kama NccR
Cuf ilishushwa kwa makusudi
Ikapandishwa CDM sasa na yenyewe inashushwa kama cuf
Cdm bungeni wabunge hama 3 au 5
Shughuli imekwisha kisha cuf itapanda tena
Hawa ACT Ndio ilitakiwa iwe mbadala wa CDM tatizo la Act ni shobo za viongozi wao
Wameamua kuizima kabisa Act kama mshumaa kanisani..
 
Mawakala walizuiliwa na wasimamizi wa uchaguzi kwa muda huku kura za maruhani zikipenyezwa kwenye masanduku, wahusika ni baadhi ya wasimamizi na mawakala wa ccm.mambo hayo yametendeka karibu nchi nzima
Unao ushahidi wa mtu aliyeona? Ushahidi wa video? Au ni kelele za wapinzani toka 1995 ambazo wananchi walishazichoka?
 
Back
Top Bottom